Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Sasa wewe si unajua Mungu huyo yupo, leta ushahidi wa hakika.Hii haiwezi kuwa sababu, sababu inaonyesha uongo wa wazi. Kitu ambacho hakijawahi kuwepo huwezi kukijua mpaka ulete ushahidi wa hakika.
Kitu ambacho unajua kipo, unashindwaje kukileta hapa kijidhihirishe kipo?Hapa umeandika sentensi isiyo kuwa na maana katika lugha na kiakili pia.
Nakuuliza swali rahisi kitu ambacho hakijawahi kuwepo umeijuaje au unakijuaje ?
Unasema Mungu yupo kwasababu ya ukomo wako wa kushindwa kujua majibu.Acha kuanza hoja mfu
nimekwambia una relay kwenye ufikiri wa namna moja, hiyo ndo level ya akili ya bianadamu labda,Umeandika mengi lakini hujajibu swali nililokuuliza.
Narudia.
Complexity ni lazima iumbwe na complexity nyingine kubwa zaidi, au inaweza kutokea tu kutoka simpler complexity?
Mwambie huyo Mungu wako aje hapa mwenyewe ajidhihirishe mwenyewe na aseme kwamba ameasisi yeye.Imeasisiwa na mkamilifu ambaye ni Mungu.
Imani ni kutokuwa na uhakika wa kitu fulani.Imani ni nini ?
Huu ni uthibitisho sababu misingi wanayotumia kutafuta ukweli ni ya kiakili na majaribio tu.
Unazijua nomino dhahania?
Njaa, akili, pumzi, hofu ni mfano wa nomino hizo.
Na nomino hizo hazipo katika uhalisia bali katika dhana za kufikirika tu.
wewe unasema hayupo kwasababu ganiUnasema Mungu yupo kwasababu ya ukomo wako wa kushindwa kujua majibu.
Una surrender na kuamua kubashiri jibu ambalo halijapitia uchunguzi.
Complexity ni lazima iumbwe na complexity nyingine kubwa zaidi, au inaweza kutokea tu kutoka simpler complexity?nimekwambia una relay kwenye ufikiri wa namna moja, hiyo ndo level ya akili ya bianadamu labda,
kwanini unataka kufikia conclusion kupitia namna hiyo, there are infinity ways,
ni hakika kwamba nyingine hazijulikani bado kwa binadamu ndo maana sayansi inashindwa kutoa majibu ya vitu vingi tuu,
the fact that sayansi inashindwa ku elezea vitu vingi, inathibitisha kwa hakika pia inashindwa ku prove uwepo wa Mungu
"kuwepo na kutowepo"
je wewe unafikiaje conclusion ya kusema hayupo ukiitumia sayansi ?
Na nomino hizo hazipo katika uhalisia bali katika dhana za kufikirika tu.
Mwambie huyo Mungu wako unayedai yupo aje hapa mwenyewe ajidhihirishe yupo.Huwa napenda sana mnapojaribu kujibu hoja, huonyesha ni watupu sana.
Unatoka nje ya maana, jina haliwi jina pasi na sifa kijana unalijua hilo ? Sasa nashangaa unaleta jambo ambalo halibadilishi chochote katika hoja yangu.
Jibu, vipo ? Inaonekana hujui maana ya Nomino, kwa ufupi Nomino ni tamko linalo elezea dhati ya kitu na halifungamani na muda. Ndio maana kuna Akili, kuna Juma. Ukiiangalia akili ina sifa zake anuai na Juma linasifa zake anuai, sifa ambazo hutofautisha jina na kitendo.
Ukisema hazipo kiuhalisia wewe unafaa upigwe makofi, kwahiyo njaa haipo kiuhalisia ? Unaijuaje Njaa mpaka ukaitofautisha na shibe, halafu muda huo unadai havipo kiuhalisia. Hivi huwa unasoma unachokiandika ?
binadamu ambae ni compex inakuaje anaundwa na seli mbili tu zikikutanaComplexity ni lazima iumbwe na complexity nyingine kubwa zaidi, au inaweza kutokea tu kutoka simpler complexity?
Complexity ni lazima iumbwe na complexity nyingine kubwa zaidi, au inaweza kutokea tu kutoka simpler complexity?binadamu ambae ni compex inakuaje anaundwa na seli mbili tu zikikutana
Mwambie Allah aje hapa ajidhihirishe mwenyewe yupo!! πKama havipo kiuhalisia unavitofautisha vipi na vitu ambavyo ni kinyume chake ?
Lakini ni msomi gani aliyekutangulia katika hili ?
Mwambie Allah aje hapa ajidhihirishe mwenyewe yupo!! π
Unahangaika kumtetea Allah Mdhaifu ambaye hawezi na wala hajawahi kuweza kujiongelea mwenyewe!!
katika kufikia conclusion binadamu wame jikuta wakitumia njia fulani ambayo wamesha prove na ina make sense kwenye akili yao,Complexity ni lazima iumbwe na complexity nyingine kubwa zaidi, au inaweza kutokea tu kutoka simpler complexity?
Mwambie huyo Allah aje hapa ajidhihirishe mwenyewe na kujiongelea mwenyewe..Shida yenu huanzia hapa. Mkiambiwa waoga mnakataa, mbona umeishiwa hoja mapema sana ?
Jibu maswali niliyo kuuliza kwanza.
Huku kwa Allah usipaguse kwa sasa, sababu huku ndio hitimisho lilipo.
Swali rahisi unashindwa kujibu.katika kufikia conclusion binadamu wame jikuta wakitumia njia fulani ambayo wamesha prove na ina make sense kwenye akili yao,
wanaitumia kufikia jibu
ila kiuhakisia ina limitation na inategemea aina ya conclusion unayotaka kufikia
nikitoa mfano una kifaa hakina uwezo wa kuplay MP4
uki taka ku play file la MP4 Itakwambia
"unsupported type"
sasa hiyo njia unayotaka kutumia ni "unsurpoted"
ndo maana sayansi inashindwa ku prove Mungu Yupo au Hayupo
inaposhindwa ku prove ndo ninyi mnapo sema hayupo,
reason mnayotoa ? sayansi haiwezi ku prove,
Jibu rahisi hapo ni kwamba, mtu yeyote atayeleta madai anakuwa na jukumu la kuthibitisha burden of proofwewe unasema hayupo kwasababu gani
unataka nikujubuje, em niambie wewe unataka jibu gani haswa,Swali rahisi unashindwa kujibu.
Complexity ni lazima iumbwe na complexity nyingine kubwa zaidi, au inaweza kutokea tu kutoka simpler complexity?
Kabla ya kwenda kwenye jibu, swali umelielewa?unataka nikujubuje, em niambie wewe unataka jibu gani haswa,
kwani ni lazima niendane na unavyo espect wewe? nimekujibu ingeneral
ukisoma kwa hatua utagundua jibu