Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Sure kaka, Mungu yupo.
Sometimes ukifikiria sana at the end unafika point unakubali yupo aliyeumba huu ulimwengu.
Kuna wakati huwa na imagine tupo na zaidi ya mabilioni ya sayari lakini mwamba akachagua Earth for humans, huwezi sema tu eti from no where binadam tu tukawa kwenye hii sayari.
Kwa nini hufikirii aliyemuumba huyo Mungu ni nani?

Kwa nini una ishia kufikirika tu ulimwengu uliumbwaje?

Kwa nini hufikirii huyo Mungu na yeye aliumbwaje?
 
Sure kaka, Mungu yupo.
Sometimes ukifikiria sana at the end unafika point unakubali yupo aliyeumba huu ulimwengu.
Kuna wakati huwa na imagine tupo na zaidi ya mabilioni ya sayari lakini mwamba akachagua Earth for humans, huwezi sema tu eti from no where binadam tu tukawa kwenye hii sayari.
kabisa man nakubali
 
Sitatumia maandiko ya Dini Quran wala Bible, labda wataelewa kidogo, maana humu JF nimegundua wapo wengi, unaweza ukajikuta una chati hata na shetani directly, anapotosha Tuanzie kwenye Civilization na Level ya akili na kufikiri viumbe mbalimbali wapo kwenye level tofauti za civilization na akili. Inaweza kuonekana kupitia namna yao ya maisha. Mfano Simba wana territory yao wanaweka alama kabisa iwe kuacha kinyesi n.k ila wana mipaka ya utawala na kuna utawala wa simba dume eneo hilo ambapo akiingiliwa na Simba mwingine ambae hakua hapo lazima wapigane vibaya sana hadi moja akubali show. Tembo pia vilevile kiasi kwamba mwenzao akifa wanahizunika na kuonyesha kuomboleza... Mchwa pia, wapo wana utawala wao, wana malkia, kuna walinzi kuna wajenzi, na wanajenga haswa, kichuguu kimejengwa kwa ustadi haswa inaonyesha kabisa wana mawasiliano mazuri sana na wanajua wanachokifanya. Nyuki pia vile vile, wana jenga nyumba yao, sehemu ya kuwekea asali, kuna malkia, kuna wanaolinda eneo, nknk. Yaani hadi wanavyotengeneza asali kumlinda malkia na kulinda eneo lao, lina onyesha wazi level yao ya kujielewa na level ya mawasiliano ni kubwa kabisa. wanyama ni wengi ambao tunaweza kuwa tumia kama reference, Sokwe etc. Hawa viumbe wote, kila mmoja kwa nafasi yake mfano tuchukulie nyuki, wanajiona wana akili(ni kweli wanayo), wanajiona wanajua mambo mengi na kufikiri logically kwamba huyu ametuchokoza kwaiyo tuji-oganize kushambulia na kujilinda, wanajua kujenga, wanamuheshimu malkia na kumlinda... ila pia kuna mambo hawajui na hawajui kama hawajui na hawawezi kukuelewa hata ukijaribu kuwaelewesha, na hautakua hata na intrest ya kuwaelewesha... Mfano: Je binadamu anaweza kua na interest ya kutaka kumuonyesha nyuki ni jinsi gani binadamu wameendelea kiteknolojia? Nyuki anaweza kuelewa kwamba binadamu anaweza kuongea na mtu wa marekani kupitia iternet kwamba binadamu anaweza kuwasiliana hivi Jamii Forums kwa id fulani na hawajawai kuonana wala kua na namba ya simu wala kukutana? Nyuki anaweza kuelewa kwamba hilo bomba linalotoa maji au hiyo taa inayowaka usiku barabarani au nyumbani imetengenezwa na binadamu na sio kwamba ipo tuu... inakazi na bili zinalipwa? Hayo ni baadhi ya maendeleo ya binadamu na kujaribi kulinganisha uwezo wa akili wa nyuki na binadamu, Ni dhahiri kwamba hai make sense kwa nyuki, na hatuna interest ya kutaka kumuelewesha Tumetofautiana kiakili na nyuki kiasi cha kua sisi tunaweza kumuelewa nyuki ila yeye hawezi kutuelewa Nyuki nae usipo mlinganisha na binadamu, ana akili kubwa tuu na huenda anajiona vilevile binadamu anavyojiona kiakili, na anakiamini kile akili yake inachowaza kumbe ndo akili yake ilipoishia. Vile vile kwa binadamu anajiona yupo advanced kiakili ambayo ni kweli pia kwa nafasi yake lakini pia na yeye ana limit ambayo akili yake inaishia. Tunaona tu dunia, jua mwezi, maporomoko na vingine, ni kama tuu nyuki akikutana na taa, bomba la maji, kweli anaona taa inatoa mwanga, bomba linatoa maji... Ila hajui hasa lile bomba imekuaje lipo pale, au taa imekuaje ipo pale, imewekwa na nani? Anachojua inatoa mwanga, mechanism nyuma yake je inakuaje inawaka usiku mchana haiwaki? Inakazi gani haswa? Hajui na hana uwezo wa kufatilia kujua. probably akiona gari anajua ni mojawapo ya viumbe wengine, hajui kama binadamu ndo yupo ndani anaendesha. au anaweza kua analichukulia kwa namna tofauti kabisa. au hata haelewi chochote. Hiyo ni relation tu ya kuonyesha jinsi akili ya viumbe mbalimbali ina limit yake Binadamu pia limit ya akili yetu ina limit inapoishia Mfano ndo unakutana na Mtu anayesema "Mungu Hayupo kwasababu Huwezi kumuona wala kumgusa wala kusikia sauti yake" Hiyo ni moja wapo ya limit ya akili yetu, ina depend moja kwa moja na milango ya fahamu, masikio macho, pua, ulimi, ngozi... Anakwambia "jua lili kwepo tuu, na dunia ilikwepo tuu, kwamba kama jua au dunia haiwezekani kuwepo tuu, basi na Mungu hawezekani kuwepo" Inaonyesha ni jinsi gani akili yetu inafikia limit, kuyaelewa mambo mengine.. Mambo ambayo hatuyajui bado ni mengi ni infinity ♾️, na ningumu hata kuingia akilini haya make sense kwasababu yapo beyond uwezo wa akili. Kama vilevile tulivyoona kwa mfano wa nyuki, kwamba kumuelezea hata teknolojia yetu hai make sense, kwaajili ya limit yao ya akili.

Cc. @Kiranga
 
Na asteroids kihistoria zimewahi kuigonga Dunia mbona, uyo Mungu alikuwa wapi?
ukisoma astrophysics vizuri, utajua ni jinsi gani Dinia ipo kwenye Risk ya ku pasuliwa au ku pasuana na kitu kingine cha anga muda wowote and without notice,

ni kama vile unaendesha bodaboda huko barabarani ambapo unapishana na kila aina ya usafiri muda wote

ila haigongani miaka kwa miaka,

Mugu ametuachia vitu vya Duniani tuvitawale, vita ipo chini yetu, Magonjwa yanatibika, kila kitu cha duniani kipo chini yetu,
na haina madhara makubwa
 
Sitatumia maandiko ya Dini Quran wala Bible, labda wataelewa kidogo, maana humu JF nimegundua wapo wengi, unaweza ukajikuta una chati hata na shetani directly, anapotosha

Tuanzie kwenye Civilization na Level ya akili na kufikiri viumbe mbalimbali wapo kwenye level tofauti za civilization na akili. Inaweza kuonekana kupitia namna yao ya maisha.

Mfano Simba wana territory yao wanaweka alama kabisa iwe kuacha kinyesi n.k ila wana mipaka ya utawala na kuna utawala wa simba dume eneo hilo ambapo akiingiliwa na Simba mwingine ambae hakua hapo lazima wapigane vibaya sana hadi moja akubali show.

Tembo pia vilevile kiasi kwamba mwenzao akifa wanahizunika na kuonyesha kuomboleza...

Mchwa pia, wapo wana utawala wao, wana malkia, kuna walinzi kuna wajenzi, na wanajenga haswa, kichuguu kimejengwa kwa ustadi haswa inaonyesha kabisa wana mawasiliano mazuri sana na wanajua wanachokifanya.

Nyuki pia vile vile, wana jenga nyumba yao, sehemu ya kuwekea asali, kuna malkia, kuna wanaolinda eneo, nknk.

Yaani hadi wanavyotengeneza asali kumlinda malkia na kulinda eneo lao, lina onyesha wazi level yao ya kujielewa na level ya mawasiliano ni kubwa kabisa.

wanyama ni wengi ambao tunaweza kuwa tumia kama reference, Sokwe etc.

Hawa viumbe wote, kila mmoja kwa nafasi yake mfano tuchukulie nyuki, wanajiona wana akili(ni kweli wanayo),
wanajiona wanajua mambo mengi na kufikiri logically kwamba huyu ametuchokoza kwaiyo tuji-oganize kushambulia na kujilinda, wanajua kujenga, wanamuheshimu malkia na kumlinda...

ila pia kuna mambo hawajui na hawajui kama hawajui na hawawezi kukuelewa hata ukijaribu kuwaelewesha,
na hautakua hata na intrest ya kuwaelewesha...

Mfano: Je binadamu anaweza kua na interest ya kutaka kumuonyesha nyuki ni jinsi gani binadamu wameendelea kiteknolojia?

Nyuki anaweza kuelewa kwamba binadamu anaweza kuongea na mtu wa marekani kupitia iternet kwamba binadamu anaweza kuwasiliana hivi Jamii Forums kwa id fulani na hawajawai kuonana wala kua na namba ya simu wala kukutana?

Nyuki anaweza kuelewa kwamba hilo bomba linalotoa maji au hiyo taa inayowaka usiku barabarani au nyumbani imetengenezwa na binadamu na sio kwamba ipo tuu... inakazi na bili zinalipwa?

Hayo ni baadhi ya maendeleo ya binadamu na kujaribi kulinganisha uwezo wa akili wa nyuki na binadamu,

Ni dhahiri kwamba hai make sense kwa nyuki, na hatuna interest ya kutaka kumuelewesha

Tumetofautiana kiakili na nyuki kiasi cha kua sisi tunaweza kumuelewa nyuki ila yeye hawezi kutuelewa

Nyuki nae usipo mlinganisha na binadamu, ana akili kubwa tuu na huenda anajiona vilevile binadamu anavyojiona kiakili, na anakiamini kile akili yake inachowaza kumbe ndo akili yake ilipoishia.

Vile vile kwa binadamu anajiona yupo advanced kiakili ambayo ni kweli pia kwa nafasi yake lakini pia na yeye ana limit ambayo akili yake inaishia.

Tunaona tu dunia, jua mwezi, maporomoko na vingine, ni kama tuu nyuki akikutana na taa, bomba la maji, kweli anaona taa inatoa mwanga, bomba linatoa maji...

Ila hajui hasa lile bomba imekuaje lipo pale, au taa imekuaje ipo pale, imewekwa na nani?

Anachojua inatoa mwanga, mechanism nyuma yake je inakuaje inawaka usiku mchana haiwaki? Inakazi gani haswa? Hajui na hana uwezo wa kufatilia kujua.

probably akiona gari anajua ni mojawapo ya viumbe wengine, hajui kama binadamu ndo yupo ndani anaendesha. au anaweza kua analichukulia kwa namna tofauti kabisa. au hata haelewi chochote.

Hiyo ni relation tu ya kuonyesha jinsi akili ya viumbe mbalimbali ina limit yake

Binadamu pia limit ya akili yetu ina limit inapoishia

Mfano ndo unakutana na Mtu anayesema "Mungu Hayupo kwasababu Huwezi kumuona wala kumgusa wala kusikia sauti yake"

Hiyo ni moja wapo ya limit ya akili yetu, ina depend moja kwa moja na milango ya fahamu, masikio macho, pua, ulimi, ngozi...

Anakwambia "jua lili kwepo tuu, na dunia ilikwepo tuu, kwamba kama jua au dunia haiwezekani kuwepo tuu, basi na Mungu hawezekani kuwepo"

Inaonyesha ni jinsi gani akili yetu inafikia limit, kuyaelewa mambo mengine..

Mambo ambayo hatuyajui bado ni mengi ni infinity ♾️, na ningumu hata kuingia akilini haya make sense kwasababu yapo beyond uwezo wa akili.

Kama vilevile tulivyoona kwa mfano wa nyuki, kwamba kumuelezea hata teknolojia yetu hai make sense, kwaajili ya limit yao ya akili.
Mtoa mada nikikuuliza kuwa ushawahi kumuona MUNGU ? Bilà shaka hujawahi kumuona , sasa kwann unawaponda wasio amini kama yupo, wakikwambia uwathibitishie kwamba ushawahi kumuona au alikuja kujidhihirisha kwako uwez jibu , kuwepo tu Kwa dini zaidi ya 4000 na Kila dini Ina MUNGU wake tofauti basi kunatilia shaka uwepo wake .Kuna jamii wamezaliwa wamekuta dini ya mababu zao vizazi na vizazi dini ya kihindu ( Hinduism) ambayo unaamini MUNGU Vishnu na krishnaa pia dini kama ya Japan Shinto na ya china budha hazifundishi mafundisho kama ya dini ya kikristo na kiislam
 
ukisoma astrophysics vizuri, utajua ni jinsi gani Dinia ipo kwenye Risk ya ku pasuliwa au ku pasuana na kitu kingine cha anga muda wowote and without notice,

ni kama vile unaendesha bodaboda huko barabarani ambapo unapishana na kila aina ya usafiri muda wote

ila haigongani miaka kwa miaka,

Mugu ametuachia vitu vya Duniani tuvitawale, vita ipo chini yetu, Magonjwa yanatibika, kila kitu cha duniani kipo chini yetu,
na haina madhara makubwa
Fatilia astrophysics vizuri mkuu, Dunia imewah kugongwa na asteroids mara kadhaa. Na kuwepo kwa asteroids Kuna thibitisha, Mungu muweza wa yote na mwenye upendo hayupo na hajawah kuwepo.
 
Maelezo yako asilimia kubwa yanaonyesha kuwa Mungu hayupo kitendo cha kuorodhesha territory za wanyama ndio zinazidi kuonyesha hakuna Mungu
Maelezo yako asilimia kubwa yanaonyesha kuwa Mungu hayupo kitendo cha kuorodhesha territory za wanyama ndio zinazidi kuonyesha hakuna Mungu
Jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani ya kitabu
Jina lako linasadifu yaliyomo kichwani mwako

Halafu hii hoja niliwahi kuuliza humu mbona atheist wengi sana?
 
Mtoa mada nikikuuliza kuwa ushawahi kumuona MUNGU ? Bilà shaka hujawahi kumuona , sasa kwann unawaponda wasio amini kama yupo, wakikwambia uwathibitishie kwamba ushawahi kumuona au alikuja kujidhihirisha kwako uwez jibu , kuwepo tu Kwa dini zaidi ya 4000 na Kila dini Ina MUNGU wake tofauti basi kunatilia shaka uwepo wake .Kuna jamii wamezaliwa wamekuta dini ya mababu zao vizazi na vizazi dini ya kihindu ( Hinduism) ambayo unaamini MUNGU Vishnu na krishnaa pia dini kama ya Japan Shinto na ya china budha hazifundishi mafundisho kama ya dini ya kikristo na kiislam
ndio, kwangu amejidhihirisha,

hata unavyoongelea uwepo wa dini hizo zaidi 4000, zote kuwa na idea ya Mungu,

inathibitisha kuwa yupo,

nani aliwaambia, au walifatilizana ?. Alijidhihirisha,

wewe kuna namna unataka aji dhihirishe ambayo ina make sense kwenye akili yako, kwenye hilo bandiko nimeleza jinsi akili ya binadamu ikipata ikipata kitu cha juu ya uwezo wa akili yake itaonekana hai make sense

au nikupe mfano mwingine, ukitaka ku play MP4, kwenye kifaa ambacho hakina uwezo wa kuplay MP4
itakwambia "unsupported type"

maana yake hai make sense kwenye hicho kifaa !
 
Mi ukinithibitishia uwepo wa Mungu, nitamuamini, lakini bila uthibitisho siwez amini uwepo wake... Izo biblia, Quran etc ni stor tu zilizoanzishwa na imaginative humans... Leta tu uthibitisho achana na stor nyingi
 
Fatilia astrophysics vizuri mkuu, Dunia imewah kugongwa na asteroids mara kadhaa. Na kuwepo kwa asteroids Kuna thibitisha, Mungu muweza wa yote na mwenye upendo hayupo na hajawah kuwepo.
ime collide ila incident zote tunazozijua ni ndogo ndogo,

ndani hata ya miaka 10,000 iliyopita, hakuna collision yoyote iliyohatarisha uhai wa dunia
 
ndio, kwangu amejidhihirisha,

hata unavyoongelea uwepo wa dini hizo zaidi 4000, zote kuwa na idea ya Mungu,

inathibitisha kuwa yupo,

nani aliwaambia, au walifatilizana ?. Alijidhihirisha,

wewe kuna namna unataka aji dhihirishe ambayo ina make sense kwenye akili yako, kwenye hilo bandiko nimeleza jinsi akili ya binadamu ikipata ikipata kitu cha juu ya uwezo wa akili yake itaonekana hai make sense

au nikupe mfano mwingine, ukitaka ku play MP4, kwenye kifaa ambacho hakina uwezo wa kuplay MP4
itakwambia "unsupported type"

maana yake hai make sense kwenye hicho kifaa !
Bado ata hueleweki . Yani MUNGU qnayetaka aabudiwe peke yake aruhusu uwepo wa dini 4000 ambazo Zina abudu miungu wengine🤔?
 
Pia kwann mtu asizaliwe na ufahamu wa MUNGU tangu mwanzo na sio kuanzia kufundishwa kupitia dini na maandiko matakatifu 🤔 ndomana Kuna watu wanazaliwa India wanafundishwa kuhusu mungu Vishnu na krishna na sio Jehovah au Allah , ko hao waliozaliwa India uko na wakafata Imani Yao ya kihindu ko wanatenda dhambi ? Mana MUNGU waliofundishwa na wakubwa wao ni Vishnu na krishna kama ww ulivoshikilia Imani Yako kupitia hiyo dini Yako ya ukristo au uislam na ukafata maandiko matakatifu biblia au Quran ndomana unajiona ww uko sahihi na Kuna wengine kama wanaabudu miungu . Nakuambia hv ww ungezaliwa kule Japan ungekuwa ni muumini wa dini ya Shinto na Wala kamwe usingesikia Allah Wala Jehovah Tena ungeona kama ni vimiungu tu, ww ungekuwa unapigania Imani Yako ya Shinto mana ndo Imani kubwa japan
 
Ukipinga uwepo wa Mungu au shetani inabidi usiamini katika dhana ya ubaya wa jambo lolote au uzuri wa jambo lolote kwa sababu kama uwepo wa Mungu na shetani ni myth basi kudhani jambo fulani ni baya au zuri ni myth, kudhani kwamba ukiua mtu ni jambo baya hiyo ni upotofu maana sababu inayotufanya tusiuane na kama nikileta sababu zangu za kuua inabidi zikubaliwe na ukipinga hizo ni shida zako sio zangu kwa kuwa siamini kama kuua ni jambo baya regardless sababu au bila sababu
Kudhani jambo baya ama zuri hiyo haihitaji kujua mungu, hiyo ni common sense tu.

Mambo ya Mungu ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Mi ukinithibitishia uwepo wa Mungu, nitamuamini, lakini bila uthibitisho siwez amini uwepo wake... Izo biblia, Quran etc ni stor tu zilizoanzishwa na imaginative humans... Leta tu uthibitisho achana na stor nyingi
kwani nimeongelea kitu chochote kuhusiana na Dini yoyote ?

pia mimi sijaja kuthibitisha,
nimekuja kuwaonyesha nini kipo nyuma ya akili yenu hadi mnakuja na conclusion kwamba Mungu hayupo.
 
The force behind all power is energy. Kuna sababu milioni ambazo huitaji kuwa na degree kutambua kuwa kuna chanzo cha sababu ya kuwepo kwa ulimwengu huu.
Miti, mabonde na milima. Viumbe hai, wanyama na binadamu. Viumbe wa majini nk. Kuna sababu. Na hii sababu ndio tunaiita MUNGU.
Lakini. dini ndio imekuwa sababu kubwa ya kufanya watu wawe na mashaka haswa kwa aina ya mafundisho tunayopewa.
Mungu yupo. Ila dini ni mzigo.
 
Bado ata hueleweki . Yani MUNGU qnayetaka aabudiwe peke yake aruhusu uwepo wa dini 4000 ambazo Zina abudu miungu wengine🤔?
haujaelewa concept nzima we jamaa,
rudia kusoma tena bandiko lote.
"Soma kwa hatua"
 
Back
Top Bottom