sijaongelea imani yoyote nimeonge lea uwepo wa Mungu,
Uislam na Ukristo unaamini Yupo,
Babu zetu kabla ya hizi dini walisha kua wanaamini Yupo,
wa hindu na dini zote ulizotaja wanaamini Yupo ?
dini ni njia tu au imani ya kumfikia Mungu
njia ni nyingi zote zinalenga Kitu kimoja
umetaja dini nyingi Je, hizo na nyingine ambazo hujataja ni dini gani ambayo inaamini Mungu hayupo ?
Kama zote zinaamini Yupo, nani aliwaambia ?
hata kama ukizaliwa unafundishwa, si ndo namna ya kumjua au wewe ulitaka namna ambayo umeiwaza wewe ?