Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Aliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?
Mkuu kila kitu kinaambatana na imani hata hizo dawa wanazogundua ni mpaka watu waziamini ndio wazitumie

Wewe umekaririshwa kingereza kwaiyo unaamini ukiongea kingereza na maneno ya kizungu ambayo yameandikwa kwenye vitabu vya chemistry, physics na biology na wazungu ndiyo upo sahihi kuliko mwingine
 
hawawezi kuthibitisha kwamba hayupo,

wanarudia poin zile zile, kua huwezi kumuona, kumgusa... kwaiyo hayupo
 
Aliyekwambia kigezo cha dawa kutumika ni mpaka watu waziamini ni nani?

Dawa hazitumiki kwa imani, dawa zinatumika kwa kuthibitishika kwa tafiti zenye uhakika na uthibitisho kwamba zinaponya na kutibu ugonjwa fulani.

Hayo maneno yaliyopo kwenye vitabu vya chemistry na physics kwani ni ya uongo?

Bila Physics unadhani maswala ya umeme yangevumbuliwa vipi?

Au physics inapo ongelea maswala kama ya umeme ina danganya sio?
 
Wewe umeweza kuthibitisha Mungu huyo yupo?

Unataka uthibitisho wa Mungu hayupo ilhali wewe mwenyewe huwezi na umeshindwa kuthibitisha Mungu huyo yupo!

Huoni kwamba Mungu huyo hayupo?
 
Wamekaririshwa maneno ya kizungu wanajifanya kujua kila kitu kwa sababu wamesoma elimu ya kukariri biology na physics

Sasa anaeamini science atakataaje theology na zote ni za wazungu
 
Alieandika physics ni nani na alieandika bible ni nani?
 
Wamekaririshwa maneno ya kizungu wanajifanya kujua kila kitu kwa sababu wamesoma elimu ya kukariri biology na physics

Sasa anaeamini science atakataaje theology na zote ni za wazungu
Aliyekwambia sayansi ina aminiwa ni nani?

Unao ongea vitu visivyo na mantiki kabisa.
 
Wewe umeweza kuthibitisha Mungu huyo yupo?

Unataka uthibitisho wa Mungu hayupo ilhali wewe mwenyewe huwezi na umeshindwa kuthibitisha Mungu huyo yupo!

Huoni kwamba Mungu huyo hayupo?
nimeshatoa hoja nyingi za kuthibitisha, hazijajibiwa ila zinapingwa kwa maswali yaleyale, na ambayo hayajibu hoja.

napenda pia kujua kitu kimoja kutoka kwako na Kiranga na wengine wasioamini pia,

hujawai kusali, kuswali, au namna yoyote ya ku-contact with higher power

nguvu ambae imefanya maisha yawepo,

au mtazamo wako kuhusu hilo
 
Imani inajengwa kwa misingi mitatu

Kuona

Kusikia

Kutenda
Haya kama misingi ya imani ni kuona, kusikia na kutenda.

Mungu huyo ulimuona wapi?

Mungu huyo ulimsikia wapi?

Na unathibitishaje Mungu huyo yupo?
 
basi thibitisha kwa kutumia physics kwanini dunia inazunguka jua na haisimami na speed yake ni almost the same kwa mamilioni ya miaka ?

uki refer kwenye laws of motion za Sir Isaac

utasema kitu kinakua kwenye state yake hadi external force iwe aplied ndo itakibadilisha,

je hata hiyo state yake ya kuzunguka ilianzishwaje,

hata ukieleza mambo ya ma big bang, eleza kilicho nyuma yake

kwakua ni maswala ya physics, thibitisha kwa physics au kwa namna nyingine pia. Thibitisha
 
Back
Top Bottom