Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Kwa nini hufikirii aliyemuumba huyo Mungu ni nani?

Kwa nini una ishia kufikirika tu ulimwengu uliumbwaje?

Kwa nini hufikirii huyo Mungu na yeye aliumbwaje?
 
kabisa man nakubali
 
 
Na asteroids kihistoria zimewahi kuigonga Dunia mbona, uyo Mungu alikuwa wapi?
ukisoma astrophysics vizuri, utajua ni jinsi gani Dinia ipo kwenye Risk ya ku pasuliwa au ku pasuana na kitu kingine cha anga muda wowote and without notice,

ni kama vile unaendesha bodaboda huko barabarani ambapo unapishana na kila aina ya usafiri muda wote

ila haigongani miaka kwa miaka,

Mugu ametuachia vitu vya Duniani tuvitawale, vita ipo chini yetu, Magonjwa yanatibika, kila kitu cha duniani kipo chini yetu,
na haina madhara makubwa
 
Mtoa mada nikikuuliza kuwa ushawahi kumuona MUNGU ? Bilà shaka hujawahi kumuona , sasa kwann unawaponda wasio amini kama yupo, wakikwambia uwathibitishie kwamba ushawahi kumuona au alikuja kujidhihirisha kwako uwez jibu , kuwepo tu Kwa dini zaidi ya 4000 na Kila dini Ina MUNGU wake tofauti basi kunatilia shaka uwepo wake .Kuna jamii wamezaliwa wamekuta dini ya mababu zao vizazi na vizazi dini ya kihindu ( Hinduism) ambayo unaamini MUNGU Vishnu na krishnaa pia dini kama ya Japan Shinto na ya china budha hazifundishi mafundisho kama ya dini ya kikristo na kiislam
 
Fatilia astrophysics vizuri mkuu, Dunia imewah kugongwa na asteroids mara kadhaa. Na kuwepo kwa asteroids Kuna thibitisha, Mungu muweza wa yote na mwenye upendo hayupo na hajawah kuwepo.
 
Maelezo yako asilimia kubwa yanaonyesha kuwa Mungu hayupo kitendo cha kuorodhesha territory za wanyama ndio zinazidi kuonyesha hakuna Mungu
Maelezo yako asilimia kubwa yanaonyesha kuwa Mungu hayupo kitendo cha kuorodhesha territory za wanyama ndio zinazidi kuonyesha hakuna Mungu
Jina la kitabu linasadifu yaliyomo ndani ya kitabu
Jina lako linasadifu yaliyomo kichwani mwako

Halafu hii hoja niliwahi kuuliza humu mbona atheist wengi sana?
 
ndio, kwangu amejidhihirisha,

hata unavyoongelea uwepo wa dini hizo zaidi 4000, zote kuwa na idea ya Mungu,

inathibitisha kuwa yupo,

nani aliwaambia, au walifatilizana ?. Alijidhihirisha,

wewe kuna namna unataka aji dhihirishe ambayo ina make sense kwenye akili yako, kwenye hilo bandiko nimeleza jinsi akili ya binadamu ikipata ikipata kitu cha juu ya uwezo wa akili yake itaonekana hai make sense

au nikupe mfano mwingine, ukitaka ku play MP4, kwenye kifaa ambacho hakina uwezo wa kuplay MP4
itakwambia "unsupported type"

maana yake hai make sense kwenye hicho kifaa !
 
Mi ukinithibitishia uwepo wa Mungu, nitamuamini, lakini bila uthibitisho siwez amini uwepo wake... Izo biblia, Quran etc ni stor tu zilizoanzishwa na imaginative humans... Leta tu uthibitisho achana na stor nyingi
 
Fatilia astrophysics vizuri mkuu, Dunia imewah kugongwa na asteroids mara kadhaa. Na kuwepo kwa asteroids Kuna thibitisha, Mungu muweza wa yote na mwenye upendo hayupo na hajawah kuwepo.
ime collide ila incident zote tunazozijua ni ndogo ndogo,

ndani hata ya miaka 10,000 iliyopita, hakuna collision yoyote iliyohatarisha uhai wa dunia
 
Bado ata hueleweki . Yani MUNGU qnayetaka aabudiwe peke yake aruhusu uwepo wa dini 4000 ambazo Zina abudu miungu wengine🤔?
 
Pia kwann mtu asizaliwe na ufahamu wa MUNGU tangu mwanzo na sio kuanzia kufundishwa kupitia dini na maandiko matakatifu 🤔 ndomana Kuna watu wanazaliwa India wanafundishwa kuhusu mungu Vishnu na krishna na sio Jehovah au Allah , ko hao waliozaliwa India uko na wakafata Imani Yao ya kihindu ko wanatenda dhambi ? Mana MUNGU waliofundishwa na wakubwa wao ni Vishnu na krishna kama ww ulivoshikilia Imani Yako kupitia hiyo dini Yako ya ukristo au uislam na ukafata maandiko matakatifu biblia au Quran ndomana unajiona ww uko sahihi na Kuna wengine kama wanaabudu miungu . Nakuambia hv ww ungezaliwa kule Japan ungekuwa ni muumini wa dini ya Shinto na Wala kamwe usingesikia Allah Wala Jehovah Tena ungeona kama ni vimiungu tu, ww ungekuwa unapigania Imani Yako ya Shinto mana ndo Imani kubwa japan
 
Kudhani jambo baya ama zuri hiyo haihitaji kujua mungu, hiyo ni common sense tu.

Mambo ya Mungu ni hadithi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Mi ukinithibitishia uwepo wa Mungu, nitamuamini, lakini bila uthibitisho siwez amini uwepo wake... Izo biblia, Quran etc ni stor tu zilizoanzishwa na imaginative humans... Leta tu uthibitisho achana na stor nyingi
kwani nimeongelea kitu chochote kuhusiana na Dini yoyote ?

pia mimi sijaja kuthibitisha,
nimekuja kuwaonyesha nini kipo nyuma ya akili yenu hadi mnakuja na conclusion kwamba Mungu hayupo.
 
The force behind all power is energy. Kuna sababu milioni ambazo huitaji kuwa na degree kutambua kuwa kuna chanzo cha sababu ya kuwepo kwa ulimwengu huu.
Miti, mabonde na milima. Viumbe hai, wanyama na binadamu. Viumbe wa majini nk. Kuna sababu. Na hii sababu ndio tunaiita MUNGU.
Lakini. dini ndio imekuwa sababu kubwa ya kufanya watu wawe na mashaka haswa kwa aina ya mafundisho tunayopewa.
Mungu yupo. Ila dini ni mzigo.
 
Bado ata hueleweki . Yani MUNGU qnayetaka aabudiwe peke yake aruhusu uwepo wa dini 4000 ambazo Zina abudu miungu wengine🤔?
haujaelewa concept nzima we jamaa,
rudia kusoma tena bandiko lote.
"Soma kwa hatua"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…