Kwanza unaposema nature ina balance una maana gani?
Balance unaipimaje?
Umepima nature tangu ulimwwngu uanze mpaka leo ukaona ina balance?
Kuna kimbunga kimepiga West Indies huko wiki hii, kimeua watu na kuharibu mali Granada mpaka Jamaica mpaka Mexico.
Hapo balance ya nature iko wapi? Mbona kimbunga cha Beryl kimeua watu na kuharibu mali, balance iko wapi?
Everything decays with time, the universe tends to instability, from order to disorder, this is the second law of tgermodynamics that causws time to be preceived.
Balance iko wapi hapo?
tuanze kwanza kwenye existance ya dunia na kilakitu, ?
maana wewe umehamia tu kwenye kubalance nature na hiyo instability unayoongelea,
unaongelea hicho kimbunga kwasababu unakiona haki make sense na hakiendani na ulicho espect
usiongelee tuu kimbunga kwamba kina leta threat kwa binadamu, nature ina fanya mambo mengi yenyewe kabisa ambayo hayasababishwi na mtu,
mfano wildfire moto unaanza msituni bila kuwashwa na binadamu, kwa kusababishwa tu na natural causes, na ule moto una faida nyingi tu katika balance of nature na kuavoid instability,
kwa zaidi ya ma milioni ya miaka, dunia imeendelea kuwa sehemu salama inayo support uhai, mbali na kwamba njia nyingine zinazotumiwa na nature zinaonekana hatari na hazi make sense,
tangu dunia ianze kiasi cha maji kimeendelea kua relatively the same
pollunation inaendelea kwa ma million ya miaka, na mimea mingine inahitaji isaidiwe na wadudu kufanya pollination, na wadudu hawaachi na mimea inazidi kuexist,
mambo ni mengi yanaendelea na kuna mechanism nyingi kuhakikisha kilakitu kina enda sawa kwa ma milioni ya miaka
nini kipo nyuma ya mechanism zote hizi ?