Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mimi sitaki jibu la kubahatisha nataka unioneshe ni kwa namna gani unaweza kuthibitisha negative kupitia mfano huo niliokupa?Mimi kutomuona tembo wa zambarau haimaanishi kama hayupo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sitaki jibu la kubahatisha nataka unioneshe ni kwa namna gani unaweza kuthibitisha negative kupitia mfano huo niliokupa?Mimi kutomuona tembo wa zambarau haimaanishi kama hayupo,
Huyo uliyemtaja aliconclude vipi uwepo wa kisababishi na ukakubali?? Sioni logic iliyopelekea yeye kumuweka kisababishi ni vile tu ameweka kwenye sentensi za mbele.Kwa hii ndio unaita reasoning?
Reasoning inaanza na conclusion?
Thomas Aquinas mwasisi wa hiyo Cosmological Argument hakuipangilia kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.
Cosmological Argument ni jaribio la kutaka kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuangalia mpangilio wa ulimwengu.
Thomas Aquinas aliweka pattern ya vitu vinne katika kuimarisha hoja yake.
1. Alisema kuna uwepo wa mfululizo wa matukio
2. Mfululizo wa hayo matukio ambayo huhusisha yakusababishwa na yasio sababishwa (lazima)
3. Lazima kutakuwepo na necessary being ambaye ndio kisababishi wa hayo matukio ambayo ni contingent.
4. Lazima kuwepo na being ambaye ni kisababishi cha mfululizo wa matukio yote hayo.
Akaja kuchambua hizo pattern kwa kuongeza hoja kama Argument from motion na maswala ya unmoved mover nk.
At least hiki ndio kitu ambacho ulitakiwa kuanza nacho kama utangulizi, kuliko kuja na conclusion eti "there creator of everything"
Sasa kwanini unilazimishe kuthibitisha negative??, in my logics na conclude kuwa wapo wewe unataka niseme hawapo kwanini????Mimi sitaki jibu la kubahatisha nataka unioneshe ni kwa namna gani unaweza kuthibitisha negative kupitia mfano huo niliokupa?
And you claim to know logic kwa kusema huo upuuzi ni logical reasoning, "mtu anakwambia lazima kutakuwa na necessary being ambayae ni kianzilishi" kwa kulala na kuamka tu, ndo mana nakwambieni nyie atheist ni brainwashed alafu mna argue kwa kutumia philosophy,Kwa hii ndio unaita reasoning?
Reasoning inaanza na conclusion?
Thomas Aquinas mwasisi wa hiyo Cosmological Argument hakuipangilia kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.
Cosmological Argument ni jaribio la kutaka kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuangalia mpangilio wa ulimwengu.
Thomas Aquinas aliweka pattern ya vitu vinne katika kuimarisha hoja yake.
1. Alisema kuna uwepo wa mfululizo wa matukio
2. Mfululizo wa hayo matukio ambayo huhusisha yakusababishwa na yasio sababishwa (lazima)
3. Lazima kutakuwepo na necessary being ambaye ndio kisababishi wa hayo matukio ambayo ni contingent.
4. Lazima kuwepo na being ambaye ni kisababishi cha mfululizo wa matukio yote hayo.
Akaja kuchambua hizo pattern kwa kuongeza hoja kama Argument from motion na maswala ya unmoved mover nk.
At least hiki ndio kitu ambacho ulitakiwa kuanza nacho kama utangulizi, kuliko kuja na conclusion eti "there creator of everything"
Umeandika hivi.Nadhani ungeelewa nilichokomenti kabla ya kureply usingejitetea na kunihoji vitu dhaifu kama hivyo
Sawa ntafanya researchNilikuwa mbishi kama wewe ila ushauri tu fanya research.
ina kiutambuzi Akili ina mipaka. Labda kama akili inayozungumzwa hapa iwe na maana ya roho pia. Lakini ukiweka ule uhusiano mtatu (mwili,nafsi na Roho) basi hapo Akili itakuwa na limit (mpaka).Unathibitisha vipi wameshindwa kuvielewa?
Au ni kwamba bado utafiti na uchunguzi wa kina haujafanyika kufahamu vitu hivyo?
Watu wangapi walikufa kwa ugonjwa wa malaria kabla dawa za malaria hazijafahamika na kugunduliwa?
Watu wangapi walishindwa kusafiri angani kabla ndege🛫 hazijafanikiwa kuruka?
Si kwamba akili ya binadamu ina limit, Ni kwamba kuna baadhi ya mambo bado hatuyafahamu ila kadiri ya tafiti, uchunguzi na udadisi zinavyo endelea kufanyika tunafahamu vitu vingi na kuondoa hiyo limit unayo idai.
Hatuwezi kujua tusivyo vijua, ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi na udadisi.
Na si kweli kwamba akili zetu zipo limited.
Maana kuna vitu vingi sana tulikuwa hatuvijui ila leo hii tunavijua.
Kwa hiyo huwezi kusema kwamba akili zetu zilikuwa limited, Ni kwamba utafiti na uchunguzi ulikuwa bado haujafanyika ipasavyo kuleta uvumbuzi.
Nimeresearch, shamanism ni fakeNilikuwa mbishi kama wewe ila ushauri tu fanya research.
Kwanza unatakiwa utambue kuwa mtu ndio aliyeanzisha dini.Kitu ambacho hujifikirishi ni kuwa uwepo wa Mungu hauhusishi ukristu na uislqmu pekee
Hiyo term morality msingi wake mkuu ni belief in super natural being
Boss na huo uungu tukiamua tunaweza ufikia. Hakuna level kiumbe awaye mwanadamu hawezi ifikia. Ni suala la maamuzi na kujifunza.Uko sahihi. Hata mimi wakati fulani nimehoji kupitia uzi. Kwa binadamu nini kinafuata baada ya ufahamu? Tumeishia kwenye consciousness. Hiyo next level ndio uungu
Hujafanya research ya kutosha au unadanganya.Nimeresearch, shamanism ni fake
Nimefanya research, aya Angalia vzur iyo video uliyotuma, jamaa ananinginia kwenye kamba, means walikuwa wanawahadaa tu watuHujafanya research ya kutosha au unadanganya.
Huwezi ku rap huku unatafuna kashata halafu usitoke nje ya beat.Huyo uliyemtaja aliconclude vipi uwepo wa kisababishi na ukakubali?? Sioni logic iliyopelekea yeye kumuweka kisababishi ni vile tu ameweka kwenye sentensi za mbele.
What if I say the process is spontaneous?? Like how a nucleus of an atom can spontaneously emit particles (mbona hakuna initiator hapa???), umekubali argument ambayo kimsingi haina tofauti na nilichoongea isipokuwa mpangilio wa premises,
Shida yenu mnataka kutumia philosophy instead of logic
Kwani we si ndio mwanzo ulidai negative claim inaweza kuthibitishwa?Sasa kwanini unilazimishe kuthibitisha negative??, in my logics na conclude kuwa wapo wewe unataka niseme hawapo kwanini????
Narudia tena, achana na falsafa ni upuuzi tu
Video ya kwanza umetoa sababu gani vile...?!Nimefanya research, aya Angalia vzur iyo video uliyotuma, jamaa ananinginia kwenye kamba, means walikuwa wanawahadaa tu watu