Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Kwa hii ndio unaita reasoning?

Reasoning inaanza na conclusion?

Thomas Aquinas mwasisi wa hiyo Cosmological Argument hakuipangilia kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.

Cosmological Argument ni jaribio la kutaka kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuangalia mpangilio wa ulimwengu.

Thomas Aquinas aliweka pattern ya vitu vinne katika kuimarisha hoja yake.

1. Alisema kuna uwepo wa mfululizo wa matukio

2. Mfululizo wa hayo matukio ambayo huhusisha yakusababishwa na yasio sababishwa (lazima)

3. Lazima kutakuwepo na necessary being ambaye ndio kisababishi wa hayo matukio ambayo ni contingent.

4. Lazima kuwepo na being ambaye ni kisababishi cha mfululizo wa matukio yote hayo.

Akaja kuchambua hizo pattern kwa kuongeza hoja kama Argument from motion na maswala ya unmoved mover nk.

At least hiki ndio kitu ambacho ulitakiwa kuanza nacho kama utangulizi, kuliko kuja na conclusion eti "there creator of everything"
Huyo uliyemtaja aliconclude vipi uwepo wa kisababishi na ukakubali?? Sioni logic iliyopelekea yeye kumuweka kisababishi ni vile tu ameweka kwenye sentensi za mbele.
What if I say the process is spontaneous?? Like how a nucleus of an atom can spontaneously emit particles (mbona hakuna initiator hapa???), umekubali argument ambayo kimsingi haina tofauti na nilichoongea isipokuwa mpangilio wa premises,
Shida yenu mnataka kutumia philosophy instead of logic
 
Mimi sitaki jibu la kubahatisha nataka unioneshe ni kwa namna gani unaweza kuthibitisha negative kupitia mfano huo niliokupa?
Sasa kwanini unilazimishe kuthibitisha negative??, in my logics na conclude kuwa wapo wewe unataka niseme hawapo kwanini????
Narudia tena, achana na falsafa ni upuuzi tu
 
Kwa hii ndio unaita reasoning?

Reasoning inaanza na conclusion?

Thomas Aquinas mwasisi wa hiyo Cosmological Argument hakuipangilia kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.

Cosmological Argument ni jaribio la kutaka kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuangalia mpangilio wa ulimwengu.

Thomas Aquinas aliweka pattern ya vitu vinne katika kuimarisha hoja yake.

1. Alisema kuna uwepo wa mfululizo wa matukio

2. Mfululizo wa hayo matukio ambayo huhusisha yakusababishwa na yasio sababishwa (lazima)

3. Lazima kutakuwepo na necessary being ambaye ndio kisababishi wa hayo matukio ambayo ni contingent.

4. Lazima kuwepo na being ambaye ni kisababishi cha mfululizo wa matukio yote hayo.

Akaja kuchambua hizo pattern kwa kuongeza hoja kama Argument from motion na maswala ya unmoved mover nk.

At least hiki ndio kitu ambacho ulitakiwa kuanza nacho kama utangulizi, kuliko kuja na conclusion eti "there creator of everything"
And you claim to know logic kwa kusema huo upuuzi ni logical reasoning, "mtu anakwambia lazima kutakuwa na necessary being ambayae ni kianzilishi" kwa kulala na kuamka tu, ndo mana nakwambieni nyie atheist ni brainwashed alafu mna argue kwa kutumia philosophy,
Hata wewe ukikaa siku unaweza kuja na falsafa zako za kipuuzi watu wakaja kukuita mwana falsafa na kufuata imani zako. Philosophy ni maamuzi ya mtu tu, huwezi kuja hapa kwenye argument alafu unaniambia mtu flani alisema blah blah blah mi ntakuona una matatizo.
Tengeneza premises, tuwekee assertions based on facts formulate conclusion
Hivyo ndivyo tunaargue, sio unakuja na maneno mtu aliongea huko na kichwa chake
 
Nadhani ungeelewa nilichokomenti kabla ya kureply usingejitetea na kunihoji vitu dhaifu kama hivyo
Umeandika hivi.

Nanukuu.

"Ukiweza kunionesha physically existence of love, hatred, sense, logic without doing any action nitakuonesha Mungu alipo"

Mwisho wa kunukuu.

Kwani lini niliwahi kukuuliza unioneshe wapi Mungu alipo?

This is a logical non sequitur fallacy.

Kwa nini suala la kuonesha Mungu alipo liwe muhimu wakati kwangu mimi hiyo si hoja?

Unajua kwamba kitu kinaweza kuwa hakipo, ikaonekana kipo, na kitu kinaweza kuwa kipo, ikaonekana hakipo?

Sasa, kama kitu kinaweza kuwa hakipo, na kikaonekana kipo, na kitu kinaweza kuwa kipo, kikaonekana hakipo, kwa nini unafanya kuonekana au kutoonekana kuwe ni hoja muhimu katika kuthibitisha kitu kipo au hakipo?

Again, unaelewa hoja yangu ya kupinga uwepo wa Mungu ni ipi? Au unadandia treni kwa mbele tu?
 
Boss kiutambuzi Akili
Unathibitisha vipi wameshindwa kuvielewa?

Au ni kwamba bado utafiti na uchunguzi wa kina haujafanyika kufahamu vitu hivyo?

Watu wangapi walikufa kwa ugonjwa wa malaria kabla dawa za malaria hazijafahamika na kugunduliwa?

Watu wangapi walishindwa kusafiri angani kabla ndege🛫 hazijafanikiwa kuruka?

Si kwamba akili ya binadamu ina limit, Ni kwamba kuna baadhi ya mambo bado hatuyafahamu ila kadiri ya tafiti, uchunguzi na udadisi zinavyo endelea kufanyika tunafahamu vitu vingi na kuondoa hiyo limit unayo idai.

Hatuwezi kujua tusivyo vijua, ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi na udadisi.

Na si kweli kwamba akili zetu zipo limited.

Maana kuna vitu vingi sana tulikuwa hatuvijui ila leo hii tunavijua.

Kwa hiyo huwezi kusema kwamba akili zetu zilikuwa limited, Ni kwamba utafiti na uchunguzi ulikuwa bado haujafanyika ipasavyo kuleta uvumbuzi.
ina kiutambuzi Akili ina mipaka. Labda kama akili inayozungumzwa hapa iwe na maana ya roho pia. Lakini ukiweka ule uhusiano mtatu (mwili,nafsi na Roho) basi hapo Akili itakuwa na limit (mpaka).
Mambo mengi huanzia ubongoni (akilini),,,ila kuna mengine nguvu ya kuyafanya yatokee haitokani na akili moja kwa moja. Ni nguvu ya ndani sana ya ufahamu (super conscious/super energy/power).
Na nguvu hii ni Roho,wengine wameipa cheo na kuiita Mungu.
Jambo la muhimu hapa tujue kwanza Akili ni nini.
Na ukumbuke kwenye maelezo yangu hapo juu akili nitaiweka kwenye kipengele cha nafsi. Kipengele hiki huusisha zaidi mambo ya Akili na hisia.
Nimalizie kipande hiki kwa kusema kwamba mtu unaweza kabisa kuishi au kuwa juu ya akili. Yaani unaweza kuona yote yaliyofanyika,yanayofanyika na yatakayofanyika.
 
Kitu ambacho hujifikirishi ni kuwa uwepo wa Mungu hauhusishi ukristu na uislqmu pekee
Hiyo term morality msingi wake mkuu ni belief in super natural being
Kwanza unatakiwa utambue kuwa mtu ndio aliyeanzisha dini.

Ukishajua hilo unaweza kujiuliza way back kabla ya dini aliwezaje kutofautisha baya na zuri.

Kwamba kabla ya dini watu walikuwa wanaona sawa kuuana?

Hata wewe sidhani kama kitu pekee kinachokuzuia kubaka watoto ni makatazao yaliyopo kwenye vitabu vya dini.

Kitu kama Empathy and Consolation ni sehemu tu ya uchache katika vingi, vinavyomfanya mtu afanye mazuri na kuepuka mabaya
 
Uko sahihi. Hata mimi wakati fulani nimehoji kupitia uzi. Kwa binadamu nini kinafuata baada ya ufahamu? Tumeishia kwenye consciousness. Hiyo next level ndio uungu
Boss na huo uungu tukiamua tunaweza ufikia. Hakuna level kiumbe awaye mwanadamu hawezi ifikia. Ni suala la maamuzi na kujifunza.
 
Hivi mtu unaamini vipi Mungu yupo, hujawah kumuona Wala kumsikia, mtu unaamini tu, lazima watu tuwe spiritual, kuwa spiritual ni kuhoji maswala ya kiimani, Ili kupata ukwel, sio kumeza tu kila kitu.
 
Huyo uliyemtaja aliconclude vipi uwepo wa kisababishi na ukakubali?? Sioni logic iliyopelekea yeye kumuweka kisababishi ni vile tu ameweka kwenye sentensi za mbele.
What if I say the process is spontaneous?? Like how a nucleus of an atom can spontaneously emit particles (mbona hakuna initiator hapa???), umekubali argument ambayo kimsingi haina tofauti na nilichoongea isipokuwa mpangilio wa premises,
Shida yenu mnataka kutumia philosophy instead of logic
Huwezi ku rap huku unatafuna kashata halafu usitoke nje ya beat.

Mimi nilikuwa naku-shape namna sahihi ambayo ulipaswa ku-propose analogy yako kwasababu Cosmological Argument haiwi presented kwa namna mbovu kama ulivyofanya wewe.

Sasa kama nakuelekeza namna gani ya kuuliza swali kwa ufasaha wewe umeshindwa kujua kuwa unaelekezwa badala yake ulichojua ni kuwa mimi nakubaliana na usahihi wa hoja hiyo kwenye kuthibitisha uwepo wa Mungu, unadhani mpaka hapo tutaelewana?
 
Sasa kwanini unilazimishe kuthibitisha negative??, in my logics na conclude kuwa wapo wewe unataka niseme hawapo kwanini????
Narudia tena, achana na falsafa ni upuuzi tu
Kwani we si ndio mwanzo ulidai negative claim inaweza kuthibitishwa?

Kama falsafa ni upuuzi automatically unakuwa umekubali kuwa habari za Mungu na dini ni upuuzi kwasababu nazo ni sehemu ya hiyo falsafa.
 
Nimefanya research, aya Angalia vzur iyo video uliyotuma, jamaa ananinginia kwenye kamba, means walikuwa wanawahadaa tu watu
Video ya kwanza umetoa sababu gani vile...?!

Ukitaka ku Debunk kitu njoo na ushahidi fanya research njoo sources zako sio maneno maneno tu.
 
Back
Top Bottom