Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Sasa kitu kinakuwaje kipo kwa kufikiri, kwann kisionekane? Au kisipimike?
Dark Matter na Dark Energy mpaka sasa Mwanadamu hajafikia uwezo wa kuijua ni nini labda siku zijazo Teknolojia itakapokua na kukomaa.
 
Dark Matter na Dark Energy mpaka sasa Mwanadamu hajafikia uwezo wa kuijua ni nini labda siku zijazo Teknolojia itakapokua na kukomaa.
Iyo Dark matter Ina interact na gravitational force, na wanasayansi wamethibitisha Ipo.. je we unaweza thibitisha Mungu yupo? Huwezi kwa sababu hayupo, kama angekuwepo angekuwa wazi, tusingebishana hivi, tumia reasoning, usifate mkumbo, una amini ktu bila ushahidi..
 
Mwanasayansi gani amethibitisha ipo?
 
Iyo Dark matter Ina interact na gravitational force, na wanasayansi wamethibitisha Ipo.. je we unaweza thibitisha Mungu yupo? Huwezi kwa sababu hayupo, kama angekuwepo angekuwa wazi, tusingebishana hivi, tumia reasoning, usifate mkumbo, una amini ktu bila ushahidi..
Hakuna aliyethibitisha na atakayeweza kuthibitisha uwepo wake,science believes that it should just be there to explain what holds these massive galaxies as we all know mass ya kawaida haitoshi. For some reasons It makes sense ku-conclude ni Mungu na sio huo upuuzi wa invisible dark matter
 
Kitendo cha kuwa sielewi mantiki nzima nacho kinazidi kuonyesha Mungu hayupo alishindwa kuumba ulimwengu usiokuwa na watu hawaelewi mantiki nzima
"Atheists wana mtindio wa ubongo" 📌

kwaiyo kila mmoja anakuja na wishes zake personal kwamba Mungu angekwepo lazima angefanya hivi na hivi...

....kwasababu hajafanya kitu flani kwaiyo inamaanishs hayupo.

hii inaonyesha ni jinsi gani mnajifungia kwenye system flani ya mawazo na espectation,
mnataka ku prove hoja zenu humohumo mlipojifungia,
kitu kinachoonyesha dhahiri ukosefu wenu wa maarifa na ufikiri wenu finyu,

the Universe has infinity number of ways to aproach things, to think, to find solutions, answers etc

we've identified one and we want to use it to do everything with it.
 
Mkuu umeelezea vizuri Sanaa, Ila ngoja ni-quote quran kdog ku-summary maelezo yako.

"66.Na mwanadamu husema: je nitakapo kufa ,Ni kweli nitafufuliwa niwe hai tena?

67.Je hakumbuki mwanadamu ya kwamba tulimuumba hapo kabla na Hali hakuwa chochote?

68.Basi naapa na mola wako mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashe'twani Kisha tutawahudhurisha kuizunguka jahannam Hali ya kuwa wamepiga magoti. ...,..... mpaka aliposema Allah عز وجل .
77.Je? umemwona Yule aliyezikufuru(pinga) ishara zetu na akasema:kwa Hakika Mimi nitapewa Mali na wana!.

78.KWANI YEYE AMEPATA KHABARI Za GHAIBU(MAMBO YALIYO JIFICHA KWA MACHO/MASKIO ),AU AMECHUKUA AHADI KWA ARRAHMANI MWINGI WA REHEMA?" Quran(98:66-78).
Mkuu usingeweka nukuu ya Quran,makafiri wana maradhi nyoyoni mwao,watamtukana Mungu.
 
Maelezo yako asilimia kubwa yanaonyesha kuwa Mungu hayupo kitendo cha kuorodhesha territory za wanyama ndio zinazidi kuonyesha hakuna Mungu
Mastaajabu haya!!,Iblis anatumia hadi intaneti??? Kwa yakini kuanzia leo naanza kufanya ibada.
 
Hata kwa hao wanasayansi mnaowaongelea,wapo wasiomuamini. Ukifatilia,utagundua hiyo kauli imeanza hivi karibuni. Hapo zamani,alikuwa wapi?
 
Giza na nuru sio swala la imani tena ni watu hawajui,Kama huamin kuna falme ya nuru basi Jaribu giza,
Masun temples ziko kibao, ocults za kutosha na zingine mpya kila siku, kuna mambo ya kutisha yanatokea hapo kigoma,.
Ila ukubali ukatae falme kuu ziko mbili GIZA NA NURU
 
"Atheists wana mtindio wa ubongo" 📌

kwaiyo kila mmoja anakuja na wishes zake personal kwamba Mungu angekwepo lazima angefanya hivi na hivi...

....kwasababu hajafanya kitu flani kwaiyo inamaanishs hayupo.

hii inaonyesha ni jinsi gani mnajifungia kwenye system flani ya mawazo na espectation,
mnataka ku prove hoja zenu humohumo mlipojifungia,
kitu kinachoonyesha dhahiri ukosefu wenu wa maarifa na ufikiri wenu finyu,

the Universe has infinity number of ways to aproach things, to think, to find solutions, answers etc

we've identified one and we want to use it to do everything with it.
Kinyago unakitunga mwenyewe hlafu unakiogopa huoni kama na wewe una matatizo ya akili
 
Ivi kaka ushawahi kuangalia muv, effects za movie ndo zimetumika hapo
Mimi pia nilikuwa mbishi sana Yes kuna Fake Lavitations ziko lakini umemuangalia yule Monk wa Kibudha kule Tibet?!.

Sikulazimishi ila fanya research kimya kimya hapa hapa Afrika na mitandaoni baada ya hapo utagundua.
 
Mysterious influences seem to be stretching the universe apart and clumping stuff together in unexpected ways, but we can't see or touch them. Scientists call these influences dark energy and dark matter.

Kwa maana hiyo kama hatuwezi kuigusa wala kuiona Dark Energy au Dark Matter huenda ndie Mungu au Miungu na sio Mungu wa kwenye Dini hizi tunaofundishwa.
 
Kaka ushaur mzuri naoweza kukupa, ni kuacha kuamini vtu vya nadharia, Mungu hayupo na Wala uchawi haupo, Ili kuthibitisha uchawi upo, usiangalie YouTube Wala nini, jiulize binafsi, je ushawah kumuona mchawi, hapana hujawah kumuona, kwasababu hakuna uchawi, ao watu wa YouTube n matapeli kama matapeli wengine.
 
Mysterious influences seem to be stretching the universe apart and clumping stuff together in unexpected ways, but we can't see or touch them. Scientists call these influences dark energy and dark matter.

Kwa maana hiyo kama hatuwezi kuigusa wala kuiona Dark Energy au Dark Matter huenda ndie Mungu au Miungu na sio Mungu wa kwenye Dini hizi tunaofundishwa.
Dark matter imethibitishwa Ipo, na kama Mungu aliumba ulimwengu kwa siku saba akamaliza, y unaendelea kutanuka? Iyo inadhiirisha uyo Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom