Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Kuna ulazima upi wa kwamba Ulimwengu umeumbwa?

Sio lazima kwamba ulimwengu umeumbwa.

Ulimwengu upo wenyewe tu bila kuumbwa.

Sio tu hayupo pia hajawahi kuwepo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Hakuna ulazima wa kwamba sisi binadamu tumeumbwa.

Kanuni niliyotumia ni hii,

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.

Muumbaji huyo wa kila kitu hawezi kuwepo tu mwenyewe bila kuumbwa.

Na kama si lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji muumbaji aliyeiumba.
😅
 
Aliyekwambia jua haliwezi kufikiwa ni nani?

Wanasayansi wakifanikiwa kuunda chombo chenye mfumo wa kutuwezesha kulifikia jua, Utasema pia jua haliwezekani kufikiwa?

Sio kwamba Jua haliwezi kufikiwa, Ni kwamba bado utafiti na uchunguzi wa kuweza kulifikia jua haujakamilika na kufanikiwa.

Kwa nini unadhani lazima vitu hivi viwe vimetoka mahali?

Kwa nini hudhani kwamba vitu hivi vinaweza kuwepo tu vyenyewe?

Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe kimetoka mahali, Huko vinapotokea vitu hivi kumetoka wapi pia?

Wala situmii Physics mimi.

Natumia simple logic.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Mungu huyo hawezi kuwepo tu mwenyewe bila kuumbwa.

Na kama si lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji muumbaji.

Una elewa hilo???
according to physics kitu kinawezaje kuwepo tu hilo ndo swali ambalo unalizinguka

kwanini useme kitu kilikwepo tu na unatumia approch ya science

au mnatufatiliza kusema Mungu alikwepo tu, sisi tuna amini kwenye The highest power beyond Human understanding,
Mungu alikwepo tu, na Yupo na ataendelea kuwepo,

Je kwa approach ya sayansi utasemaje kitu kipo tu, kitu gani kina ku support kusema hivyo ?
 
Sitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabu
Na wewe usitumie alphabet ya mtu yeyote, usitumie internet ya mtu yeyote, usitumie app ya mtu yeyote, tengeneza kila kitu chako.
 
according to physics kitu kinawezaje kuwepo tu hilo ndo swali ambalo unalizinguka

kwanini useme kitu kilikwepo tu na unatumia approch ya science

au mnatufatiliza kusema Mungu alikwepo tu, sisi tuna amini kwenye The highest power beyond Human understanding,
Mungu alikwepo tu, na Yupo na ataendelea kuwepo,

Je kwa approach ya sayansi utasemaje kitu kipo tu, kitu gani kina ku support kusema hivyo ?
Ndo nimekwambia, kama uyo Mungu unaemuamin yupo, tupatie ushahidi wa uwepo wake...
 
Afrika huwa wanapata shida hasa maswala ya dini, hizi dini za kuletwa na mzungu na mwarabu ni changamoto Sana zimeharibu akili za waafrika wengi.

Kwa sababu waafrika wengi hatupendi kusoma na kuweka historia katika maandishi, wazungu wamefaulu kuhusu Hilo.

jikite Sana katika kusoma vitabu mbalimbali na kujifunza mambo mengi mazuri.

KILA la KHERI
 
according to physics kitu kinawezaje kuwepo tu hilo ndo swali ambalo unalizinguka
Nimesha kwambia mimi situmii Physics kusema Mungu hayupo.

Natumia simple logic.
kwanini useme kitu kilikwepo tu na unatumia approch ya science .
Wapi nimetumia approach ya sayansi?
au mnatufatiliza kusema Mungu alikwepo tu, sisi tuna amini kwenye The highest power beyond Human understanding,
Mungu alikwepo tu, na Yupo na ataendelea kuwepo,
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.

Hivyo wewe kuamini Mungu yupo sio uthibitisho wa kwamba kweli Mungu yupo, Ni imani na mawazo yako uchwara tu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Je kwa approach ya sayansi utasemaje kitu kipo tu, kitu gani kina ku support kusema hivyo ?
Hakuna sehemu yeyote ile niliyotumia approach ya sayansi.
 
Mabangi na pombe za kunywa mchana jua kali hivi zinakumaliza.
Nasema msituletee ujinga na mavitabu yenu ya Wazungu mnajiona mnajua kumbe hamjui kitu, njoo tuvute km unaona tunafaidi we wa Wapi funga kitabu hicho njoo na fuvu lako
 
Mwanasayansi gani? Wanasayansi wengi hawaamin juu ya uwepo wa Mungu, kwa sababu hakuna hata ushahidi mmoja kwamba yupo, wakina Albert Einstein, kina Stephen Hawkings wote walikuwa atheists

Ni kuamini katika super natural being, ambayo ni sawa na ushirikina tu
Nimekuuliza maana ya MUNGU sio Imani katika MUNGU.

Nini maana ya MUNGU.
 
Wanaosema mbinguni Kuna Mungu, ni wanaoamini, japo hawajatuthibitishia yupo
Wewe umewahi kupaona mbinguni au ndio na Wewe umekaririshwa kitabu kile? Toka nje ya kitabu njoo na majibu usilete majibu ya kwenye kitabu
 
Wewe umewahi kupaona mbinguni au ndio na Wewe umekaririshwa kitabu kile? Toka nje ya kitabu njoo na majibu usilete majibu ya kwenye kitabu
Mi ni Atheist, najua mbiguni hakuna Mungu Wala malaika, sababu uko kwenye space huwez kusurvive, hakuna oxygen. Uyo Mungu anaishije uko? Mungu hayupo na hatawahi kuwepo
 
Na wewe usitumie alphabet ya mtu yeyote, usitumie lugha ya mtu yeyote, usitumie internet ya mtu yeyote, usitumie app ya mtu yeyote, tengeneza kila kitu chako.

Wewe umefikiria nini nje ya alphabet za watu, lugha za watu, app za watu na internet ya watu?
Umevuta cha Wapi Mzee wangu?
 
Nimekuuliza maana ya MUNGU sio Imani katika MUNGU.
MUNGU ni jina tu kama yalivyo majina mengine Juma, Abdala, Mohamed, Asha, Mwajuma, Diana, Peter.

Mtu yeyote anaweza kujiita hilo jina Mungu.

Ndio maana hata mwana mama Zumaridi anajiita Mungu.

Msanii Kanye West Pia alisha jiita Mungu.

Hata wewe pia unaweza kujiita Mungu.

Au ukiamua uunde sanamu lako uliite Mungu sawa pia.

Mungu ni jina tu.
 
Umevuta cha Wapi Mzee wangu?
Acha longolongo.

Na wewe usitumie alphabet ya mtu yeyote, usitumie lugha ya mtu yeyote, usitumie internet ya mtu yeyote, usitumie app ya mtu yeyote, tengeneza kila kitu chako.

Wewe umefikiria nini nje ya alphabet za watu, lugha za watu, app za watu na internet ya watu?
 
If you judge a fish by its ability to climb a tree, it will live its entire life thinking it's stupid.
 
Nimesha kwambia mimi situmii Physics kusema Mungu hayupo.

Natumia simple logic.

Wapi nimetumia approach ya sayansi?

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.

Hivyo wewe kuamini Mungu yupo sio uthibitisho wa kwamba kweli Mungu yupo, Ni imani na mawazo yako uchwara tu yasiyo na uthibitisho wowote ule.

Hakuna sehemu yeyote ile niliyotumia approach ya sayansi.
je umetumia njia gani kuhitimisha kua vilikwepo tu,

mimi nimeelezea ni kwanini Mungu alikwepo tu, Yupo na Ataendelea kuwepo
 
Back
Top Bottom