stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
MUNGU ni MIMI MIMI ni MUNGU uliza hapa nikujibuNaomba nikuulize unifafanulie maana ya MUNGU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU ni MIMI MIMI ni MUNGU uliza hapa nikujibuNaomba nikuulize unifafanulie maana ya MUNGU.
😅Kuna ulazima upi wa kwamba Ulimwengu umeumbwa?
Sio lazima kwamba ulimwengu umeumbwa.
Ulimwengu upo wenyewe tu bila kuumbwa.
Sio tu hayupo pia hajawahi kuwepo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Hakuna ulazima wa kwamba sisi binadamu tumeumbwa.
Kanuni niliyotumia ni hii,
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.
Muumbaji huyo wa kila kitu hawezi kuwepo tu mwenyewe bila kuumbwa.
Na kama si lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji muumbaji aliyeiumba.
according to physics kitu kinawezaje kuwepo tu hilo ndo swali ambalo unalizingukaAliyekwambia jua haliwezi kufikiwa ni nani?
Wanasayansi wakifanikiwa kuunda chombo chenye mfumo wa kutuwezesha kulifikia jua, Utasema pia jua haliwezekani kufikiwa?
Sio kwamba Jua haliwezi kufikiwa, Ni kwamba bado utafiti na uchunguzi wa kuweza kulifikia jua haujakamilika na kufanikiwa.
Kwa nini unadhani lazima vitu hivi viwe vimetoka mahali?
Kwa nini hudhani kwamba vitu hivi vinaweza kuwepo tu vyenyewe?
Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe kimetoka mahali, Huko vinapotokea vitu hivi kumetoka wapi pia?
Wala situmii Physics mimi.
Natumia simple logic.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.
Mungu huyo hawezi kuwepo tu mwenyewe bila kuumbwa.
Na kama si lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji muumbaji.
Una elewa hilo???
Na wewe usitumie alphabet ya mtu yeyote, usitumie internet ya mtu yeyote, usitumie app ya mtu yeyote, tengeneza kila kitu chako.Sitaki mtumie kitabu chochote kuutafuta uwepo wa MUNGU jitumie Wewe km Wewe bila kutumia kitabu chochote alafu njoo na majibu usimsahau kumwambia Kiranga hatutaki mambo yake ya kutumia Vitabu tunataka logic yake yeye km yeye anaonaje bila kufanya reference ya Vitabu
Ndo nimekwambia, kama uyo Mungu unaemuamin yupo, tupatie ushahidi wa uwepo wake...according to physics kitu kinawezaje kuwepo tu hilo ndo swali ambalo unalizinguka
kwanini useme kitu kilikwepo tu na unatumia approch ya science
au mnatufatiliza kusema Mungu alikwepo tu, sisi tuna amini kwenye The highest power beyond Human understanding,
Mungu alikwepo tu, na Yupo na ataendelea kuwepo,
Je kwa approach ya sayansi utasemaje kitu kipo tu, kitu gani kina ku support kusema hivyo ?
Ni kuamini katika super natural being, ambayo ni sawa na ushirikina tuNaomba nikuulize unifafanulie maana ya MUNGU.
Nimesha kwambia mimi situmii Physics kusema Mungu hayupo.according to physics kitu kinawezaje kuwepo tu hilo ndo swali ambalo unalizinguka
Wapi nimetumia approach ya sayansi?kwanini useme kitu kilikwepo tu na unatumia approch ya science .
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.au mnatufatiliza kusema Mungu alikwepo tu, sisi tuna amini kwenye The highest power beyond Human understanding,
Mungu alikwepo tu, na Yupo na ataendelea kuwepo,
Hakuna sehemu yeyote ile niliyotumia approach ya sayansi.Je kwa approach ya sayansi utasemaje kitu kipo tu, kitu gani kina ku support kusema hivyo ?
Nasema msituletee ujinga na mavitabu yenu ya Wazungu mnajiona mnajua kumbe hamjui kitu, njoo tuvute km unaona tunafaidi we wa Wapi funga kitabu hicho njoo na fuvu lakoMabangi na pombe za kunywa mchana jua kali hivi zinakumaliza.
Mwanasayansi gani? Wanasayansi wengi hawaamin juu ya uwepo wa Mungu, kwa sababu hakuna hata ushahidi mmoja kwamba yupo, wakina Albert Einstein, kina Stephen Hawkings wote walikuwa atheists
Nimekuuliza maana ya MUNGU sio Imani katika MUNGU.Ni kuamini katika super natural being, ambayo ni sawa na ushirikina tu
Wewe umewahi kupaona mbinguni au ndio na Wewe umekaririshwa kitabu kile? Toka nje ya kitabu njoo na majibu usilete majibu ya kwenye kitabuWanaosema mbinguni Kuna Mungu, ni wanaoamini, japo hawajatuthibitishia yupo
OkayNasema msituletee ujinga na mavitabu yenu ya Wazungu mnajiona mnajua kumbe hamjui kitu, njoo tuvute km unaona tunafaidi we wa Wapi funga kitabu hicho njoo na fuvu lako
Mi ni Atheist, najua mbiguni hakuna Mungu Wala malaika, sababu uko kwenye space huwez kusurvive, hakuna oxygen. Uyo Mungu anaishije uko? Mungu hayupo na hatawahi kuwepoWewe umewahi kupaona mbinguni au ndio na Wewe umekaririshwa kitabu kile? Toka nje ya kitabu njoo na majibu usilete majibu ya kwenye kitabu
Umevuta cha Wapi Mzee wangu?Na wewe usitumie alphabet ya mtu yeyote, usitumie lugha ya mtu yeyote, usitumie internet ya mtu yeyote, usitumie app ya mtu yeyote, tengeneza kila kitu chako.
Wewe umefikiria nini nje ya alphabet za watu, lugha za watu, app za watu na internet ya watu?
MUNGU ni jina tu kama yalivyo majina mengine Juma, Abdala, Mohamed, Asha, Mwajuma, Diana, Peter.Nimekuuliza maana ya MUNGU sio Imani katika MUNGU.
Ndio hivyo fungia hayo mavitabu kabatini hapa njoo Wewe na fuvu lako anza kutema Madini anuai ambayo hata Mzungu hajawahi kuyaandika popoteOkay
Acha longolongo.Umevuta cha Wapi Mzee wangu?
Lina maana gani?Mungu ni jina tu.
je umetumia njia gani kuhitimisha kua vilikwepo tu,Nimesha kwambia mimi situmii Physics kusema Mungu hayupo.
Natumia simple logic.
Wapi nimetumia approach ya sayansi?
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.
Ila Ukianza kudai imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.
Hivyo wewe kuamini Mungu yupo sio uthibitisho wa kwamba kweli Mungu yupo, Ni imani na mawazo yako uchwara tu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Hakuna sehemu yeyote ile niliyotumia approach ya sayansi.