Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
mkuu me nina mpango wa kununua 113 scania kwahy hata nikaitia pesa vipi sitaweza dumu nalo? Maana nataka nichukue la mkononi nitie pesa nibebee koroshoGari zee huwa haliponi. Hata uingize mil 50 kulikarabati. Halitokaa lipone.
Kwenda gereji subiri mpaka lishindwe kutembea.
Chukua tu ila kapime BP kabla hujanunua. Ukikutwa mzima ndio ulichukue. Kwa shughuli za hapa na pale litadumu.mkuu me nina mpango wa kununua 113 scania kwahy hata nikaitia pesa vipi sitaweza dumu nalo? Maana nataka nichukue la mkononi nitie pesa nibebee korosho
Cami ikianza ujeuri huwa ni jeuri kwelikweli unaweza kanyaga mafuta iko palepale tu inalia ng'eeeh ng'eeeee lakini haiendi!Na mwanangu mmoja huyo anayo Toyota Camry ya 99 inamtesa kinyama, picha inaanza huwa hatoboi nayo safari ya kilometer 9, Utakuta gari iko pembeni ya barabara ukifika mbele unamkuta anatembea kwa mguu huku amevaa kibegi chake cha kuning'iniza
huyu mwamba alikua na akili timam Ila magari mabovu yamemgeuza kashageuka kituko ila ye anaona Yuko sawa.
Ye ukimpelekea gari inayong'aa rangi na Ac iko vizuri tu unamshikisha ananunua.
Hashaurik kabadili magar ma 4 ndan ya miaka 5 na zote hakuna hata moja aliyofanikiwa kuiza baada ya yeye kununua huwa zinamfia mkononi
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo!
Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya wenyewe tulivyoyazoea kutokana na ubovu mbalimbali wa kudumu!
Mfano! Mimi nilikuwa na trekta moja mbovu ambayo kabla ya ya kukunja kona (nikikaribia kukata kona) ilikuwa lazima nianze kukata /kuzungusha steringi mita 20 kabla sijafika kwenye kona yenyewe ndo inapinda la sivyo nitapitiliza tu hakuna namna!
Baadae nikaja pata kigari kingine kibovu, aroo breki zake husimami bila kupampu pump! Uking'ang'ania breki unaweza pita nao mbeli maana kile kigari kilikuwa roho mkononi!
Sahivi ninayo nyingine mbovu inaugonjwa kushituka kama ina kifafa arooh! Unaweza ukawa kwenye mwendo mzuri tu mara inakita gudu kwa mshituko mkubwa! Nikiwa na abiria lazima ashituke lakini mie wala nishazoea naishi nayo tu maisha yanasonga!
Naomba tusimuliane magonjwa na ubovu wa magari yetu namna vile tunaishi nayo pamoja na changamoto zote, pia ikiwezekana tupeane mbinu za kutatua changamoto endapo utalielewa tatizo la ugonjwa wa mwenzako reply kwenye comment usimfuate Pm ili sote tujifunze.
Karibuni
MmmhHilo ni pepo, kemea....
ngoja nikajionee vya kusimuliwa havinogiChukua tu ila kapime BP kabla hujanunua. Ukikutwa mzima ndio ulichukue. Kwa shughuli za hapa na pale litadumu.
Electronic Control Unit - hii ni mahali ambapo mfumo wote wa umeme wa gari unaratibiwa ili kuifanya injini kufanya kazi ipasavyo. Mambo ya kubadili gia, uchomaji wa mafuta nk..yaani ndiyo kompyuta ya gari.Oooh ECU ni nini
Mkuu, kununua gari 0km inabidi kwanza uwe na mind za kifisadi, yaani usiwe na mawazo ya kuionea huruma hela. Pale posta DSM kuna agent wa Toyota anauza Toyota Rumion new model TZS 60m. Sasa mzee kutoa milioni 60 kununua Rumion inahitaji kujizima data, maana ukiagiza Japan iliyotumika kidogo unaipata kwa TZS milioni 30 hivi..yaani hapo kwa agent, Harrier used wanauza milioni 80 na wala sio za umeme, ukiwa na akili za kawaida huwezi nunua. Ni mpaka uwe umeizoea sana hela na una mind flani ya kifisadi, kutoionea huruma hela.Gari mpya hazikamatiki mkuu! Maana kuna upya zero kilometers, na upya wa used kutoka Japan ambazo wengi huita mpya kwa ardhi yetu ...lakini ni mitumba !
Yote kwa yote! Kwa kipato cha mtanzania ni asilimia 5% ya watu kati mia wenye uwezo wa kumudu kununua gari mpya 0 KM, baada hapo asilimia 20% wanaweza agiza used kutoka Japan, na 25% wanauwezo wa kununua yaliyotumika na watu hapa bongo, na baada ya hapo 50% ya watanzania hawana uwezo wa kumiliki gari lolote
Inaruka kama ndamaNilikuwa na yangu ilikuwa ikitoka gear namba 1 kwenda 2 inaruka kama imeshtuliwa na kitu,nilihangaika nayo sana ikiwa ni pamoja na kushusha gerabox mara kadhaa,mwisho wa siku nilikuja kutoa kabisa gear box yote ndio ikatulia...
Lakini watu wananunua tu wala hawajaliMkuu, kununua gari 0km inabidi kwanza uwe na mind za kifisadi, yaani usiwe na mawazo ya kuionea huruma hela. Pale posta DSM kuna agent wa Toyota anauza Toyota Rumion new model TZS 60m. Sasa mzee kutoa milioni 60 kununua Rumion inahitaji kujizima data, maana ukiagiza Japan iliyotumika kidogo unaipata kwa TZS milioni 30 hivi..yaani hapo kwa agent, Harrier used wanauza milioni 80 na wala sio za umeme, ukiwa na akili za kawaida huwezi nunua. Ni mpaka uwe umeizoea sana hela na una mind flani ya kifisadi, kutoionea huruma hela.
Yeah, watu walioizoea hela wananunua mkuuLakini watu wananunua tu wala hawajali
KabisaYeah, watu walioizoea hela wananunua mkuu
Jamaa kasema toyota camry na sio camiCami ikianza ujeuri huwa ni jeuri kwelikweli unaweza kanyaga mafuta iko palepale tu inalia ng'eeeh ng'eeeee lakini haiendi!
Ni vigari vizuri sana kubana mafuta lakini vikianza kudeka sasa unaweza omba ukigawe bure
Doooh ebwana sio mchezo, kwanini sasa hashauriki ilhal anapata HasaraNa mwanangu mmoja huyo anayo Toyota Camry ya 99 inamtesa kinyama, picha inaanza huwa hatoboi nayo safari ya kilometer 9, Utakuta gari iko pembeni ya barabara ukifika mbele unamkuta anatembea kwa mguu huku amevaa kibegi chake cha kuning'iniza
huyu mwamba alikua na akili timam Ila magari mabovu yamemgeuza kashageuka kituko ila ye anaona Yuko sawa.
Ye ukimpelekea gari inayong'aa rangi na Ac iko vizuri tu unamshikisha ananunua.
Hashaurik kabadili magar ma 4 ndan ya miaka 5 na zote hakuna hata moja aliyofanikiwa kuiza baada ya yeye kununua huwa zinamfia mkononi
Hahahaaha ni kwel kbasaMkuu, kununua gari 0km inabidi kwanza uwe na mind za kifisadi, yaani usiwe na mawazo ya kuionea huruma hela. Pale posta DSM kuna agent wa Toyota anauza Toyota Rumion new model TZS 60m. Sasa mzee kutoa milioni 60 kununua Rumion inahitaji kujizima data, maana ukiagiza Japan iliyotumika kidogo unaipata kwa TZS milioni 30 hivi..yaani hapo kwa agent, Harrier used wanauza milioni 80 na wala sio za umeme, ukiwa na akili za kawaida huwezi nunua. Ni mpaka uwe umeizoea sana hela na una mind flani ya kifisadi, kutoionea huruma hela.
Magari mabovu ni kilevi kama vikevi vingine ....kuacha ngumu, ukiona gari bovu unalitaman kulinunuaDoooh ebwana sio mchezo, kwanini sasa hashauriki ilhal anapata Hasara
NomaHahahaaha ni kwel kbasa