Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

Na mwanangu mmoja huyo anayo Toyota Camry ya 99 inamtesa kinyama, picha inaanza huwa hatoboi nayo safari ya kilometer 9, Utakuta gari iko pembeni ya barabara ukifika mbele unamkuta anatembea kwa mguu huku amevaa kibegi chake cha kuning'iniza

huyu mwamba alikua na akili timam Ila magari mabovu yamemgeuza kashageuka kituko ila ye anaona Yuko sawa.
Ye ukimpelekea gari inayong'aa rangi na Ac iko vizuri tu unamshikisha ananunua.

Hashaurik kabadili magar ma 4 ndan ya miaka 5 na zote hakuna hata moja aliyofanikiwa kuiza baada ya yeye kununua huwa zinamfia mkononi
 
Cami ikianza ujeuri huwa ni jeuri kwelikweli unaweza kanyaga mafuta iko palepale tu inalia ng'eeeh ng'eeeee lakini haiendi!
Ni vigari vizuri sana kubana mafuta lakini vikianza kudeka sasa unaweza omba ukigawe bure
 
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!

Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo!

Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya wenyewe tulivyoyazoea kutokana na ubovu mbalimbali wa kudumu!

Mfano! Mimi nilikuwa na trekta moja mbovu ambayo kabla ya ya kukunja kona (nikikaribia kukata kona) ilikuwa lazima nianze kukata /kuzungusha steringi mita 20 kabla sijafika kwenye kona yenyewe ndo inapinda la sivyo nitapitiliza tu hakuna namna!

Baadae nikaja pata kigari kingine kibovu, aroo breki zake husimami bila kupampu pump! Uking'ang'ania breki unaweza pita nao mbeli maana kile kigari kilikuwa roho mkononi!

Sahivi ninayo nyingine mbovu inaugonjwa kushituka kama ina kifafa arooh! Unaweza ukawa kwenye mwendo mzuri tu mara inakita gudu kwa mshituko mkubwa! Nikiwa na abiria lazima ashituke lakini mie wala nishazoea naishi nayo tu maisha yanasonga!

Naomba tusimuliane magonjwa na ubovu wa magari yetu namna vile tunaishi nayo pamoja na changamoto zote, pia ikiwezekana tupeane mbinu za kutatua changamoto endapo utalielewa tatizo la ugonjwa wa mwenzako reply kwenye comment usimfuate Pm ili sote tujifunze.

Karibuni

Hilo ni pepo, kemea....
 
Oooh ECU ni nini
Electronic Control Unit - hii ni mahali ambapo mfumo wote wa umeme wa gari unaratibiwa ili kuifanya injini kufanya kazi ipasavyo. Mambo ya kubadili gia, uchomaji wa mafuta nk..yaani ndiyo kompyuta ya gari.
 
Gari mpya hazikamatiki mkuu! Maana kuna upya zero kilometers, na upya wa used kutoka Japan ambazo wengi huita mpya kwa ardhi yetu ...lakini ni mitumba !

Yote kwa yote! Kwa kipato cha mtanzania ni asilimia 5% ya watu kati mia wenye uwezo wa kumudu kununua gari mpya 0 KM, baada hapo asilimia 20% wanaweza agiza used kutoka Japan, na 25% wanauwezo wa kununua yaliyotumika na watu hapa bongo, na baada ya hapo 50% ya watanzania hawana uwezo wa kumiliki gari lolote
Mkuu, kununua gari 0km inabidi kwanza uwe na mind za kifisadi, yaani usiwe na mawazo ya kuionea huruma hela. Pale posta DSM kuna agent wa Toyota anauza Toyota Rumion new model TZS 60m. Sasa mzee kutoa milioni 60 kununua Rumion inahitaji kujizima data, maana ukiagiza Japan iliyotumika kidogo unaipata kwa TZS milioni 30 hivi..yaani hapo kwa agent, Harrier used wanauza milioni 80 na wala sio za umeme, ukiwa na akili za kawaida huwezi nunua. Ni mpaka uwe umeizoea sana hela na una mind flani ya kifisadi, kutoionea huruma hela.
 
Lakini watu wananunua tu wala hawajali
 
Cami ikianza ujeuri huwa ni jeuri kwelikweli unaweza kanyaga mafuta iko palepale tu inalia ng'eeeh ng'eeeee lakini haiendi!
Ni vigari vizuri sana kubana mafuta lakini vikianza kudeka sasa unaweza omba ukigawe bure
Jamaa kasema toyota camry na sio cami
 
Na mwanangu mmoja huyo anayo Toyota Camry ya 99 inamtesa kinyama, picha inaanza huwa hatoboi nayo safari ya kilometer 9, Utakuta gari iko pembeni ya barabara ukifika mbele unamkuta anatembea kwa mguu huku amevaa kibegi chake cha kuning'iniza

huyu mwamba alikua na akili timam Ila magari mabovu yamemgeuza kashageuka kituko ila ye anaona Yuko sawa.
Ye ukimpelekea gari inayong'aa rangi na Ac iko vizuri tu unamshikisha ananunua.

Hashaurik kabadili magar ma 4 ndan ya miaka 5 na zote hakuna hata moja aliyofanikiwa kuiza baada ya yeye kununua huwa zinamfia mkononi
Doooh ebwana sio mchezo, kwanini sasa hashauriki ilhal anapata Hasara
 
Mkuu, kununua gari 0km inabidi kwanza uwe na mind za kifisadi, yaani usiwe na mawazo ya kuionea huruma hela. Pale posta DSM kuna agent wa Toyota anauza Toyota Rumion new model TZS 60m. Sasa mzee kutoa milioni 60 kununua Rumion inahitaji kujizima data, maana ukiagiza Japan iliyotumika kidogo unaipata kwa TZS milioni 30 hivi..yaani hapo kwa agent, Harrier used wanauza milioni 80 na wala sio za umeme, ukiwa na akili za kawaida huwezi nunua. Ni mpaka uwe umeizoea sana hela na una mind flani ya kifisadi, kutoionea huruma hela.
Hahahaaha ni kwel kbasa
 
Back
Top Bottom