Pirate of Carribean
Senior Member
- Sep 4, 2019
- 116
- 189
Gari yangu ikikaa juani mda mrefu inakua yamoto na joto kali ndani, ikifikia stage hio mshale wa speed hausomi ukiwa unatembea, na zile milage zinafutik mpk ikipoa ndio inarudi normal, shida itakua ni nini ?Electronic Control Unit - hii ni mahali ambapo mfumo wote wa umeme wa gari unaratibiwa ili kuifanya injini kufanya kazi ipasavyo. Mambo ya kubadili gia, uchomaji wa mafuta nk..yaani ndiyo kompyuta ya gari.
JITU LA MIRABA MINNE Mad Max hii wanajua. Ila unaweza kuta shida ni hiyo dashboard saa (odometre)Gari yangu ikikaa juani mda mrefu inakua yamoto na joto kali ndani, ikifikia stage hio mshale wa speed hausomi ukiwa unatembea, na zile milage zinafutik mpk ikipoa ndio inarudi normal, shida itakua ni nini ?View attachment 2671293
Hata ukipigwa tochi njiani haisomi?Gari yangu ikikaa juani mda mrefu inakua yamoto na joto kali ndani, ikifikia stage hio mshale wa speed hausomi ukiwa unatembea, na zile milage zinafutik mpk ikipoa ndio inarudi normal, shida itakua ni nini ?View attachment 2671293
Mkuu kwani tochi huwa zinasoma ile saa yenyewe?Hata ukipigwa tochi njiani haisomi?
Kumbe huwa zinasoma niniMkuu kwani tochi huwa zinasoma ile saa yenyewe?
Umeongea jambo zuri sanaKununua au kurithi gari mbovu ni jambo ambalo sitamani mtu alipitie.
Una gari lakini wakati wote hauna uhakika wa safari yako.
Upo harusini Mbezi Beach na wewe ni mkazi wa Pugu Kajiungeni, unakunywa na kula huku ukifurahi lakini ukikumbuka kuwa gari yako spana mkononi furaha yote inapotea.
Maana harusi ikiisha unaweza kwenda kwenye gari na isiwake, inaweza ikawaka lakini ikaja kuzima Mwenge na ni usiku.
Kama sio fundi na hutaki kuchanganyikiwa na kujiingiza kwenye gharama zisizo na mwisho, tafadhali usinunue gari mbovu wala usikubali kurithishwa gari mbovu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😞Mfano! Mimi nilikuwa na trekta moja mbovu ambayo kabla ya ya kukunja kona (nikikaribia kukata kona) ilikuwa lazima nianze kukata /kuzungusha steringi mita 20 kabla sijafika kwenye kona yenyewe ndo inapinda la sivyo nitapitiliza tu hakuna namna!
Ni presha na tumbo joto kama kuuguza mgonjwa! Muda wote unamawazoKununua au kurithi gari mbovu ni jambo ambalo sitamani mtu alipitie.