OkSawa umeeleweka. Turudi kwenye kutoa na kupokea likes sasa.
Siasa popote pale duniani zinakera isipokuwa pengine huko nchi za Skandinavia.
Na Wabongo wakiona sasa unaanza kutoka kimaisha weeee. Cha moto utakiona. Utaendewa mpaka kwa waganga na kufanyiwa makafara. Halafu unakuta ni watu wa karibu na wengine ni ndugu kabisa. Hovyo sana!Hahahaha
Don't run!Ni mambo mawili tu: Ama anahesabu hela au yupo deep kwenye magic worship and practice...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ila za bongo jana na leo zimevunja rekodi hadi aibuSiasa popote pale duniani zinakera isipokuwa pengine huko nchi za Skandinavia.
Sialiki mtu kwanguNa Wabongo wakiona sasa unaanza kutoka kimaisha weeee. Cha moto utakiona. Utaendewa mpaka kwa waganga na kufanyiwa makafara. Halafu unakuta ni watu wa karibu na wengine ni ndugu kabisa. Hovyo sana!
HahahahaOna wanafunzi walioshuhudia mtanange mpaka wanampa saluti kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe niwekee Mimi tu!Likes leo naona zinasuasua. Wekeni posts please kama kawaida yangu nagawa likes bila kuruka post yo yote!
wapi ISIS