Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nitajie hizo sababu. Sipendi ubinafsi wa wanasiasa wa Afrika. Mwanasiasa anapoiba na kuwa bilionea wakati watu aliowaibia hawana hata pesa ya kununua aspirin, ni binadamu huyo?
Ubinafsi wa viongozi wa afrika hilo si sababu tusijivunie bara letu kikubwa nafikiri wananchi wa bara letu labda ndio wabinafsi
 
Hapa ni likes lakini ukitaka elimu vile vile unapewa tu
 
Hoja yako dhaifu sana yaani wewe mpka uone haya niambie hiyo imani uliyonayo umemwona nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…