Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The beautiful land of Africa
Aisee kule kwetu visiwani ni pazuri sana ukiamka asbh unapata manzari ya lake Victoria unapata viazi na mihogo ya kuchemsha au ugali Wa muhogo kwa samaki walioweka ndimu na chumvi zamu ya kwenda kuchunga imefika acha tu
Raha sana!
Unajenga mansion yako kwenye beach ya Lake Victoria!
Heaven on earth really!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…