Acha kabisa kwa takwimu za nchi hii PhD holders wengi wanatoka Ukerewe Na PembaNamagondo...
Euphrase Kezilahabi
Anicet Kitereza
Gabriel Ruhumbika
Highest number of PhD holders/area in Tanzania
Mzee wa Masaki
Something is in da wotaaa....
Aiseeh...jaribu kuliweka ila sikuzote watu hawatakubali jambo kwa 100% lakini si vyema kuweka vitu moyoni....Natamani ni ngeweza kuliweka wazi bila kukwaza mtu na likawa na matokeo +ve
Asante my loveHahahaha
I like the name
Mzee wa Masaki
Thanks my love for real!Asante my love
Wahenga hawahojiwiUsihoji wahenga,wewe amini hivyo tu 😀😀
AiseeAcha kabisa kwa takwimu za nchi hii PhD holders wengi wanatoka Ukerewe Na Pemba