Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sema shem. Mwambie dadangu namletea zawadi aisee. Yaani ameweza kukuibua chap chap. Safi sana kwa kweli!Hi Shimba Ya Buyenze
Nimeamini mapenzi yananguvu,mara ya pili hii babe S anamrudisha uniqMapenzi yana nguvu aisee. Uniq alitupiga mkwara juzi hapa sasa kaibuliwa. Hata KK angekuwa na mtu wa kueleweka hapa angekuwa kesharudi!
[emoji106][emoji106][emoji106]Wewe tena mwenye madawa yako njoo na Dandelion kabisa
Good nightGoodnightView attachment 553798
Wewe kulikua na ujumbe wako huko...Mimi au Numbisa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole kwisha habari yake. Bado ameshindwa kusoma mchezo??? Madhara ya kusoma boys school hayo....Babe ungenipa ruhusa kidogo tu nikale hizo hela za maparachichi na hivi anakuja kuyauza huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimfilisi tu arud tukuyu kwa miguu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisaKwa kweli shemeji siwezi kuficha. Bila kamsambwanda angalau ka kutimbwilika timbwilika wakati wa kutingisha bakuli uji ukinywewa kwa kweli hapana! [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23]#bringbackourhochiminh#Mchina nilimkanya nikamuambia hataona JF tena hakusikia
GeJo kweli atafutwe aongoze kampeni hii muhimu.Hahahaha...inabidi tuongee na Gejo vizuri....amlete
Kwa Babe S mapaka ndoa itimieSema shem. Mwambie dadangu namletea zawadi aisee. Yaani ameweza kukuibua chap chap. Safi sana kwa kweli!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo huoni miguu unaona msambwanda tu
Akikujia na gia ya nimependa tumbo lako ndo kabisaaaaa nguvu za kukataa zinaisha
Mama Penzi zito kuliko DamuNimeamini mapenzi yananguvu,mara ya pili hii babe S anamrudisha uniq
Sipati picha siku atakayorudi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchina nilimkanya nikamuambia hataona JF tena hakusikia
Yaaani.........nimemtumia na ujumbe ila....atakua anamwamini carba[emoji6] [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole kwisha habari yake. Bado ameshindwa kusoma mchezo??? Madhara ya kusoma boys school hayo....
GeJo anauguza ka moyo kake mana aliambiwa haachwi sasa KK kaondokaHahahaha...inabidi tuongee na Gejo vizuri....amlete