Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*hekima toka kw babu*
Cku zote asie na upeo w kufikilia ujiona yuko sahihi na uwakosoa wenzie] nivyema kujifanya mjinga na haujui chochote ata kw unacho kijua maana wapo wanao jua zaidi ili nawe ujifunze zaidi,
Ni busara kunyamaza kw mpumbavu ili kumzihirishia upumbavu wake,
Mwenye hekima ujiepusha kw vi2 vicvyo na maana ili kui2nza eshima,
Ni vyema kumuomba msamaha ulie mkosea il ujifunze kw atae kukosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu. BWANA atanitimilizia mambo yangu; Zaburi 138:3, 8a, 2, "Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, Nitalishukuru jina lako, Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako, Kwa maana umeikuza ahadi yako, Kuliko jina lako lote.” Asante Mungu kwa Neno lako ambalo umelikuza kuliko jina lako lote. Asante kwa sababu wewe ndio utanitimizia mambo yangu ambayo nimekuwa nikikulilia usiku na mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…