Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MISHKAKI YA NYAMA MAHITAJI Nyama 3/4 kg Chumvi kiasi Limau 1 (lemon) Soy souce 1 tbsp Bizari nzima (cumin seeds) 1tbsp Pilipili manga (black paper) 1/2 tsp Tangawizi 1tsp (ginger paste) Kitinguu saum 1tsp (garlic paste) Mafuta ya kupikia 2tbsp Pilipili ilosagwa (ukipenda) JINSI YA KUTENGENEZA Weka bizari nzima kwenye pan weka kwenye moto ikipata moto kidogo itowe uitwange Changanya vitu vyote pamoja than weka chops Funika weka kwa masaa 4 ikolee vizuri Chomeka nyama kwenye vijiti Weka kwenye trayer tia kwenye grill igeuze geuze kila wakati ili iwive vizuri Enjoy Usisahau
 
MISHKAKI YA NYAMA MAHITAJI Nyama 3/4 kg Chumvi kiasi Limau 1 (lemon) Soy souce 1 tbsp Bizari nzima (cumin seeds) 1tbsp Pilipili manga (black paper) 1/2 tsp Tangawizi 1tsp (ginger paste) Kitinguu saum 1tsp (garlic paste) Mafuta ya kupikia 2tbsp Pilipili ilosagwa (ukipenda) JINSI YA KUTENGENEZA Weka bizari nzima kwenye pan weka kwenye moto ikipata moto kidogo itowe uitwange Changanya vitu vyote pamoja than weka chops Funika weka kwa masaa 4 ikolee vizuri Chomeka nyama kwenye vijiti Weka kwenye trayer tia kwenye grill igeuze geuze kila wakati ili iwive vizuri Enjoy Usisahau
 
EASY CHOCOLATE CAKE MAHITAJI Unga wa ngano 1 1/2 cups (190g) Sukari 1 cup (200g) Cocoa powder 1/4 cup Siagi (butter) 3/4 cup (75g) yayusha Maji (warm) 1 cup (240ml) Vanilla 1 tsp Baking powder 1 tsp Baking soda 3/4tsp Chumvi 1/4 tsp Limau (fresh lemon juice) 1tbsp JINSI YA KUTENGENEZA Tayarisha treya kwa kupaka siagi (unaweza kutumia sufuria pia) Changanya unga, sukari , cocoa powder, b.powder, b.soda na chumvi mix vizuri mpaka vichanganyike Changanya maji, vanilla, limau na siagi (iliyoyayushwa iwe warm kidogo) Mimina kwenye ule mchanganyiko wa unga changanya vizuri sana mpaka vichanganyike uwe hauna madonge Mimina kwenye treya weka kwenye oven 180°c kwa 30-35 min Unaweza kueka chokolate juu au kula bila chokolate Jinsi ya kutengeneza chocolate ya kueka juu ipo kwenye pic zetu pia unaweza kuweka chocolate spread Enjoy
 
POUND CAKE mahitaji Unga wa ngano vikombe 2 Sukari kikombe 1 Siagi kikombe 1 Mayai 5 Vanilla extract 2 tsp Maziwa ya maji vijiko 4 Baking powder 1 1/2 tsp Njia 1. Chukuwa chombo changanya unga wa ngano na baking powder na uchekeche unga wako mara 2 mpk 4 hii inasaidi keki kuwa laini 2.chukuwa siagi kisha weka sukari na anza kusaga kwa kutumia mashine au mwiko mpk ilainike kabisa na anza kuweka yai moja baada ya jingine huku unaendelea kuchanganya mpk umalize yote na mchanganyiko utakuwa laini malizia kwa kuweka vannila na saga ili ichanganyike vizuri 3.kisha chukuwa ule unga wako na changanya na mchanganyiko wako na weka yale maziwa koroga ichanganyike vizuri 4.chukuwa chombo cha kubake paka siagi na unga wa ngano na kisha weka mchanganyiko wako na bake kwy oveni 200°c kwa dakika 45 kisha angalia km tayari kwa kuweka toothpick katika ikitoka safi keki tayari 5.subiri ipoe na tayari kwa kuliwa au unaweza pamba upendavyo
 
Biryani ya kuku rahisi Mahitaji Mchele Mchele 1/2kilo Karafuu vipande 6 Mdalasini vipande 4 Iliki nzima 4 Chumvi kiasi Maji Kuku Kuku mzima 1 Vitunguu maji 4 Vitunguu saumu 1 tsp Tangawizi 1 tsp Giligilani ya unga 1/2tsp Binzari manjano 2 tsp Pilipili manga 1/2 Maziwa mgando kikombe 1 Limao 1 Nyanya 4 Garam masala 1tsp Mafuta na chumvi Njia Mchele wako loeka km lisaa moja na kisha chukuwa uweke kwy maji na chumvi,iliki,mdalasini na karafuu uchemshe kisha uchuje na weka pembeni Kwy sufuria jingine chukuwa mafuta weka vitunguu vyako acha vipate rangi ya kahawia kisha weka kuku, vitunguu saumu,tangawizi,giligilani ya unga, pilipilimanga,binzari na garam masala na chumvi acha ichemke weka nyanya zako na funika ziive vizuri na mchanganyiko uive kisha weka maziwa yako ya mgando koroga na acha ichemke vizuri na iwe na uzito kisha weka limao Kwy sufuria jingine anza kwa kuweka huu mchanganyiko wa kuku kisha weka wali rudia tena kwa kuweka mchanganyiko wa kuku na malizia wali kwa juu kisha nyunyizia mafuta kidogo palia na mkaa juu na chini au weka kwy moto mdogo kwy gesi uufunike na mfuniko unaobana vizuri. Acha kama dakika 20 epua na uchanganye vizuri na upakuwe tayari kwa kuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…