mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Yeremia 33:3Siku yako ni njema.!
Unae Mungu muweza wa yote.
Yeremia 32:27
[27]Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiliweza?
Hakuna lililogumu kwako, hakuna jaribu lililo juu ya nguvu ya Mungu itendayo kazi ndani yako.
Mungu anakuthamini sana hata amekupa siku ya leo akiwa na uhakika wa kukutunza na kukuwezesha katika yote unayoyapitia. Kaa ndani yake nae atakufanikisha kwakua mapenzi yake ni mema.
MUNGU ANAKUWEZESHA
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMheshimiwa naona kaamua kupunguza kitambi baada ya kupoteza uwaziri. Safi sana!
Kama sio Gerald kuwapa goli la bure Chelsea hile season tungekuwa mabigwaKwa miaka ya hivi karibuni kwa Liverpool ile ndiyo ilikua inaleta matumaini
Hayakuhusu lakiniUuuuwiiiii
Niite nami nitakuitikia nitakuonyesha mambo magumu usiyo ya juaYeremia 33:3
[emoji23][emoji23][emoji23]pambana na huba lako wenyewe wanasemaKupendwa raha, hahah acha tupambane na hali zetu maana hakuna namna.
Usimsikilize anaugulia huyo, Cole kapata wa chuo....Kupendwa raha, hahah acha tupambane na hali zetu maana hakuna namna.
Hahaha kulikoAlikua anaroho ngumu sana
Achana nao haoNatumia miwani,unataka kusema nadanganyika??? Basi, acha nidanganyike kwa hiari yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiselaaa kiselaaAnaijua shughuli yangu,ndio maana akiondoka hafiki mbali,anarudi.Au shemeji ulikuwa unaulizia matendo gani?
Mbona kama kajimwagia majiMheshimiwa naona kaamua kupunguza kitambi baada ya kupoteza uwaziri. Safi sana!
I'm not Liverpool fan lakini ile Sikh roho iliniuma sana mana sikutaka Gerrard atoke bila eplKama sio Gerald kuwapa goli la bure Chelsea hile season tungekuwa mabigwa
Masumbuko,kidawa,cheusi mangala
U r welcome my dear
We mdanganye danganye tu ukimwambia ukweli ataumia[emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji443] [emoji443] [emoji443]Natumia miwani,unataka kusema nadanganyika??? Basi, acha nidanganyike kwa hiari yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kbs,haya ni yetu tuHayakuhusu lakini