Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaijua shughuli yangu,ndio maana akiondoka hafiki mbali,anarudi.Au shemeji ulikuwa unaulizia matendo gani?
Unawaza kinyume nyume shemeji. Naongelea utu. Heshima. Upole. Kujali. Ungekuwa na haya kusingekuwa na hizi safari za mara kwa mara kwenda Kibiti kumtafuta KK au pwani huko kwa Moudgulf.
 
Je una vinyusi vichache kiasi kwamba unashindwa kuchonga nyusi kwa style upendayo?au hata ukipaka wanja wa lulu hupendezi?....basi kama unataka kuwa na nyusi nene na nyeusiii...step ya kwanza jenga tabia ya kupitisha mswaki kwenye chusi km vile unazipanga nyusi na kusugua uchafu...nyusi hugoma kuota kwa wingi kutokana na kuzuiwa na dead cells zilizopo ktk ngozi ya pembeni mwa nyusi zitokanazo na lotions,mafuta,makeups,jasho n.k sasa ww unapojisafisha daily na mswaki laini unatoa zile dead cells na nyusi mpya zinaanza kutokea juu na chini.
 
Chukua beseni weka maji kipimo ukiweka miguu nyayo zinazama....tia sabuni ya maji au shampoo maalumu ya miguu...loweka miguu yako dk kadhaa....theni chukua dodoki au jiwe la miguu jisugue....baada ya kujisugua jikaushe miguu vizurri alafu chukua mafuta yyte ya kula au olive oil paka miguuni alafu vaa soksi (zisiwe nyeusi)then lala...fanya hivi week 2 tu miguu soft no gagaz
 
Nilishawahi paka utomvu wa alovera kwenye kovu la moto aiseeh niliwashwa hadi nikajuta
 
Njia ya 2 kutoa magaga ni kutumia hii scrub . Unga wa mchele Apple cider vineger Asali Olive oil . changanya unga wa mchele na apple cider kisha weka asali korogaaa wee mpk uwe laini jaribu kupaka mkononi ukiona sio soft vinakwaruza koroga mpk vile lainiiii.....osha miguu yako na loweka dk 10 ktk povu humo kisha isuuze ikaushe then paka hiyo scrub huku unasugua kisha subir igande au kukauka nawe paka olive oil ..relax!...week 1 tu utaona matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…