mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nafurahia sana ndoa yangu kaka. Wavimba macho walie tu.Ni kweli dada. Naona Andjul kawa mjanja kumalizia wale wengine 15 tuliomwongezea. Ila kama una furaha basi hakuna neno!
Sawa nimekupata shem. Ni kweli. Mkalishe chini bwana mdogo umwambie kabisa kuhusu mambo haya ili siku akipuyanga huko ajue kabisa kuwa amevuka mstari. Ni muhimu kujulishana haya mambo from the get go!Kunisaliti hapa sijui kama naweza kusamehe kwakweli hata kama kosa ni langu
Kutoniheshimu/kunidharau hayo sijui kama nitasamehe
Cole umesikia?Kunisaliti hapa sijui kama naweza kusamehe kwakweli hata kama kosa ni langu
Kutoniheshimu/kunidharau hayo sijui kama nitasamehe
Duh! Pokea likes kwanza kabla ya yote.Tena leo wewe nataka kula nawe sahani moja. Weka hizo code zako tuone sasa!
KumekuchaaaJumapili njema kabisa
Plan A imeshindikana. Why? Did you learn anything?plan 'B'
Blue Monday is sweetI hate monday's[emoji22][emoji22]