mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Niliona Kazi yako nimekupa likes za kutoshaMkuu nilikuwa online usiku mwingi sana.. Niaje sasa kumekucha
Aaaah wee vipi umeanza kutembea mlemle baadaye uka divert. Kesho usirudi kutupitisha njia hiyo*Sehemu Katika Mwili Wa Binadamu Iliyo Zungukwa Na Nywele Nyingi Laini Na Inaunyevu Unyevu Ikiguswa Guswa Taratibu Au Kwa Bahati Mbaya Utoa Majimaji Ni (JICHO)endelea kuwaza ujinga wako tu*
Umeanza vizuri, ila ulivyomalizia sasa na huto tu emoji
Athante kwa kunimithi
Hahahahaha ni shida sana kuleKule unafanya kupita tu, tena ikibidi unapitia bahari kuu, nchi kavu unaiona kwa mbaliii. Na kama una tumia chopa basi utapita anga la kimataifa ili kuepusha povu zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbafu zake huyo baba, loo!!*Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"*
HahahahahaUwiii
Huenda alitumwa na shetani huyoLeo bana kanisani Mchungaji kasema anayetaka kuombewa ili biashara yake ikue apate wateja wengi asimame. Kuna Muuza MAJENEZA amesimama wa kwanza.. Naona Mchungaji kaahirisha maombi kasema kesho na kila mtu aende na sadaka au bidhaa anayouza.
We are blessedKWA WAKUBWA TU
A single sperm contains 37.5 MB of DNA information. One ejaculation represents a data transfer of 15,875 GB, equivalent to the combined capacity of 62 MacBook Pro laptops.