Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amna nawaza tu bro Bila ya kuwa na consistence ya baadhi ya WADAU humu sizani kama uzi huu ungeendelea
Ndiyo maana inabidi tuwe na tabia ya kujaribu kuwatafuta wadau wanapotoweka. Na wageni wakija tuwakaribishe kwa wema na kuwa-appreciate. The sky is the limit bro na uzi huu utazidi kusonga tukifanya hivyo!
 
Mtiririko wa salaam na maombi umeenda vizuri sana.Umeharibu mwishoni kwenye deni.... Hata hivyo ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…