Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na Masaki kuna viuchochoro? Mi nilidhani viuchochoro ni huku Mbagala tu? Yeah. We have to do something kwa kweli. Haiwezekani eti hata salamu lazima tupitishe kwake a-approve kwanza. Mayai viza au nyanya mbovu will do! [emoji23][emoji23][emoji23]

Masikini Ho Chi Minh!
 
Babee
 
Hahahaha
 
Ulilipa 20 bado 15. Acha ujanja shemeji. Rekodi na makubaliano yote ninayo hapa. Sahihi yako na mashahidi watano. Kama unataka kutudhulumu sema tu ila madhara yake ni makubwa sana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 20+15= 35 mahari
20-35 =-15 deni
Mahaba +(-15)deni =sidaiwi(nsamaka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…