mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaNa Masaki kuna viuchochoro? Mi nilidhani viuchochoro ni huku Mbagala tu? Yeah. We have to do something kwa kweli. Haiwezekani eti hata salamu lazima tupitishe kwake a-approve kwanza. Mayai viza au nyanya mbovu will do! [emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini Ho Chi Minh!
Hahahahaha#ndoayamkopohaitakuachasalama#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mgongano wa vizazi. Dot.com wanaponda wahenga, wahenga nao wanasema dot.com know nothing about life; lack life skills and can't be trusted...
Unaanza hivi "Malkia ISIS habari yako....(kwa hisani ya mzee wa liver)". Lakini usione ajabu salaam yako ikajibiwa na mzee wa ini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani huwezi amini. Sasa hata nikitaka kumsalimia malkia inabidi niombe ruhusa kwa Mzee wa Ini. Itabidi nimuombe malkia aniombee special clearance kwa mzee. Ni shida kwa kweli!
We miss u 2Nawamiss wapendwa
Katingwa na nini? Majukumu au Cole?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] carba katingwa ile mbaya
Hahahha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 20+15= 35 mahari
20-35 =-15 deni
Mahaba +(-15)deni =sidaiwi(nsamaka)
Muhenga[emoji23][emoji23][emoji23]nalo ni jina jipyaMama nibembeleze,nibebishe,niite haya majina mapya haya,nirembe nirembike.