Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Democrats wenyewe ni mfarakano tupu. Wangekuwa na strategy wangeweza ku-exploit udhaifu wa huyu jamaa kujiimarisha!Huyu jamaa sijui itakuwaje serikali yake...atamaliza salama mhula wake?
My third princess hujamboCarba upo? Manake ww ndio unaenisumbua sana humu. Nisipokuwepo tu unachukua nafasi yangu.
AMUN RA7:07
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
Kazi IPO..Democrats wenyewe ni mfarakano tupu. Wangekuwa na strategy wangeweza ku-exploit udhaifu wa huyu jamaa kujiimarisha!
Katiba yao iko wazi kuhusu jinsi ya kumwondoa rais madarakani. Akiuvuka huo mstari bila shaka hawatasita kumfurusha kwa sababu sasa wanasema mvurugano huu unaoendelea hata usalama wa Marekani hauko salama. Serikali haiko imara na katika baadhi ya sekta muhimu hata huwezi kujua ni nani yupo in charge. Ni shida!
Tutapitia baadaye likesChadema yatoa tathmini ya utendaji wa serikali
Sasa wanunue niniWadai ununuzi wa ndege siyo vipaumbele vya taifa
Hapo sawaHebu tumulike viwanja vya michezo
Double Target
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hafai,shimba alimuamini kweli mzee wa ini, hadi akampa kitengo cha data...kumbe mzee wa ini ana lengo moja tu, fuatilia nyendo za Malikia...