mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha andjul muhengaNikiwepo unajidai mpole, niachie muhenga wangu.
Naamini umehakiki mzee wa data.Tunza sana hiyo comment...Mkuu kumbe alilipa zote
Hahahahaha#ndoayamkopohaitamuachaandjulsalama#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana karibu
Kulikuwa nauzi wake leo kuleSource please
MessiFootball
Lebron JamesBasketball
Serena WilliamsTennis
AMUN RA9:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
AMUN RA9:28
AMUN RA
Series Kali sana Korean dramaA man called God
Naamini akimaliza majukumu yake atarudi.Umebaki wewe, mzee wa liver na Cole kwenye kuamsha amsha...Mungu awabariki sana,pamoja na myoyambendi,moudgulf,uniq, babe S,ghazwat,Numbisa,Isis,carba, mpenzi nsamaka, BAK,Cleverking,na wengine wengi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti pete za visoda. KK kiboko. Alikuwa na burungutu la pete binti akizubaa tu anapachikwa. Naamini siku moja atarudi!
Nipo MkuuMzee wa liver
My loveISIS
Mtoto wetu huwa hachelewi kuunguza picha,hata aje mjomba ake,yeye anaripoti na anasema yeye hamjui.Mtihani unakuwa kwa nsamaka kujieleza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawezi kukunyima ushilawadu
Thanks my love