Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chungwa ni moja ya matunda muhimu pia kwa kuwa lina vitamini C na madini ya potassium, vitamini iitwayo ‘folate’’ (B-Group Vitamin ) ambayo husaidia katika kujengeka kwa ubongo wa mtoto, kwa mama mjamzito.
 
Ndizi ina vitamini B6 na madini ya potassium, ndizi zina madini mengi ya potassium ukilinganisha na matunda mengine ambayo husaidia kupunguza ongezeko la shinikizo la damu.
 
CHUNGWA: Hili ni chungwa maarufu sana linalosaidia kurudishia ngozi iliyodhurika na kuupa uhalisia wa ngozi yako. Jinsi ya kutumia ni rahisi sana, chukua juisi ya chungwa ya baridi kisha paka usoni, acha kwa dakika 10 kisha osha utaona matokeo yake.
 
Kipo aliandika professor Machunda mpka Bible kwa kikerewe i will look for you my
Genius one
Give me 2days
Asante sana. Kitamsaidia. Vipi kuhusu source yo yote ya kujifunzia Kikerewe? Hasa salamu na mazungumzo rahisi rahisi?

Wenzetu hawa yaani wakiwa na passion na kitu basi they go for it. Imagine huyu kasoma kitabu tu kikamkolea sasa anataka kujifunza utamaduni, lugha na kutembelea kabisa ili akaone vitu laivu..
 
PAPAI: Ni tunda sahihi kabisa katika kukupa ngozi yenye mafuta, kurudishia au kuziba sehemu zilizoumia na kunyofoka katika ngozi yako. Papai pia hunga'arisha rangi ya ngozi yako, yote haya hufanyika na enzyme inayotokana papai ambayo huitwa papain. Endapo kama unataka kutumia papai katika ngozi yako ya uso, basi chukua asali changanya na papai lililo iva na paka usoni kwako kwa dakika 10 kisha safisha, kisha utaona kitakachotokea katika uso wako, utaonekana kama ngozi ya mtoto wa siku mbili.
 
APPLE: Hili ni tunda maarufu sana duniani lihusishwalo na wapendanao, lakini tunda hili pamoja na kupewa umaarufu mkubwa duniani na kuwa na vitamini na madini kibao, pia lina kazi kubwa sana katika kukupa muonekano mzuri wa ngozi ya mwili wako.Tunda hili husaidia kuboresha mzunguko wa damu mwilini pamoja na kuhifadhi ngozi isipoteze uhalisia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…