Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hongera. Kaa mbali na mapochopocho ya Masaki sasa usije ukafumuka kitambi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante Numbisa Nina mwaka wa Sita sijawahi kuumwa chochote kwa ajili ya kula chakula bora
Ushauri ni muhimu kula chakula bora
Sio bora chakula
Changamoto za majukumuNa Mfalme Mwenye Busara leo uonekanaji wake hapa ni wa kusuasua.
Again asante my princess kwa somo zuriBaadhi ya watu wamekuwa wanachukulia kirahisi ulaji wa matunda, lakini unapaswa kujua kwamba matunda ni muhimu kwa afya zetu kwani yanatukinga na magonjwa mbali mbali na pia hutengeneza muonekano mzuri wa ngozi ya miili yetu.
Kunakila sababu za kukubali kuwa matunda ni muhimu sana kwa afya zetu kwa sababu huongeza vitamin kibao; zifuatazo ni sababu zinazokufanya ule matunda kila siku:
Kweli kabisa auOFFICIAL: Simba imethibitisha kumsajili Haruna Niyonzima baada ya kumaliza mkataba Yanga kwa sasa ni mchezaji wao halali .
Yes sir. The Blessing Giver has no time table!Even this evening
Kupatikana kwa mapinduzi ya maendeleo na kugundua moto kulileta mambo mengi sanaMboga na matunda ndiyo vilikuwa vyakula vyetu vya asili. Inasemekana tuliongezea nyama baadaye baada ya kugundua moto.
Kabisa lakini si wengiWengine walikua wanakuka nyama mbichi