Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Karibu tena kamanda. Uzi huu ni kupokezana. Wengine wanaondoka na wengine wanaingia. Ni active hata mida ya wanga utakuta watu wanakula likes bila wasiwasi!Asee kwema sana kiongozi SHIMBA! Niliadimika kidogo kipande hii. Mnisamehe bure tafadhali
IndeedYeah. Mambo ya mizimu, mapepo na uganguzi. Tena huwa wanatafuta za miaka fulani fulani hivi...
Mwili mkubwa wenye afya. Ndo maana huumwi.Hahahahaha
The Genius one
Mimi by nature Nina mwili mkubwa tu sio kwa sababu ya chakula
Asante Numbisa Nina mwaka wa Sita sijawahi kuumwa chochote kwa ajili ya kula chakula bora
Ushauri ni muhimu kula chakula bora
Sio bora chakula