Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 557392 View attachment 557392
Well said
Maana mimi na AMUN RA
Hatuwezi kutengana kamwe!
AMUN RA
Naamini kuna siku nitakutana nawe na tutaongea mengi kuhusu haya mambo (Baada ya kumaliza mazungumzo ya kibiashara). Tatizo sema tu ni Mzee wa Liver kwa sababu sijui kama ataruhusu. Leo yuko wapi sijamsikia? Hajambo?
 
Anamalizia majukumu
Long weekend inaanza!
Ingawa j3 ni kazi!
Wengi wamechukua off haswa kwenye private companies!
Hotel zimejaa wahindi kutoka Kenya!
 
nsamaka amekataa kasema kama hakuna mwingine si lazima aone mji
Kuhusu yeye kuja aje tu mimi nitamtembeza Cole atakuwa busy sana[emoji23][emoji23]...ila nsamaka anawasiwasi sana na mimi sijui kwa nini
Mambo ya pwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…