Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasiasa bwana! Mpaka Zuckerberg???
767ab551fe7136d9ca360a97bb4ffaa7.jpg
 
Kuliwahi kuwa na kesi humu ya dada mja mzito aliyeharibu ujauzito aliouhitaji sana baada ya kutafuna kitunguu saumu. Dada alikuwa na ujauzito mchanga na alisoma uzi humu wa kutibu chunusi usoni kwamba ukitafuna inapunguza na hata kuondoa kabisa chunusi. Basi akaenda kutafuna baada ya masaa machache tumbo likaanza kumuuma sana na kisha akaanza kubleed. Akaja humu kusema hali yake hiyo watu wakamwabia awahi hospitali haraka ambapo aliambiwa ujauzito umeharibika.

Fanya hivi kila siku au kila mara unapopata nafasi na hivyo utakuwa mbali na kuuguwauguwa. Mama mjamzito chini ya miezi 4 ni vema asitumie, kwa ujumla tu mjamzito uwe makini utakapotumia kitunguu swaumu kwa namna hii kama wewe ni mjamzito.
 
Back
Top Bottom