Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
JAKITOO NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE
Usifikiri kinyumenyume shemeji....And if everybody's a sinner then everybody could ba a winner...
My love nimekuja tuwe wawiliNiko peke yangu hapa...
Hata mpenzi wangu Jakitoo kalala...
Hata shemeji yangu Carba naye kalala.
Ntafanyeje sasa?
Ooh baby. Please rudi kitandani. Kalale baby. Utachoka sana kesho. Hata kama usingizi hakuna just lay on the bed and relax....My love nimekuja tuwe wawili
Bro, mbona mapema sana? Umeamkaje? Saa kumi usiku. Kamalizie usingizi bro. Msalimie Carba!Cole
World
Kwema bro namuona Shemeji JAKITOO is it coincidenceBro, mbona mapema sana? Umeamkaje? Saa kumi usiku. Kamalizie usingizi bro. Msalimie Carba!
Jana niliaga hapa saa 1 so inatosha kulala 8hrs zinatosha sanaBro, mbona mapema sana? Umeamkaje? Saa kumi usiku. Kamalizie usingizi bro. Msalimie Carba!
Sawa babe nalala... nawe ulale mapema babeOoh baby. Please rudi kitandani. Kalale baby. Utachoka sana kesho. Hata kama usingizi hakuna just lay on the bed and relax....
I hope unapata likes zanguKipara (Baldness): Paka kwenye kipara kijiko kimoja cha mafuta ambayo yaliwekwa vipande vya maembe mabichi na kuhifadhiwa kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi yaani kwa kimombo ‘oil in which raw mangoes have been preserved for over one year’.
It's not. Mimi na Jakitoo tu mwili mmoja...if you know what I mean [emoji23][emoji23][emoji23]Kwema bro namuona Shemeji JAKITOO is it coincidence
Yeyote anaefanya kama usemavyoMkuu utaratibu wa kutupia post na kusepa haukubaliki, ni vyema ukagonga likes kwa uchache angalau page 20 kisha ukaendelea na safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro upo mjini hapaHuku Mbagala ndiyo kunakucha sasa. Wauza samaki wa kukaanga, pweza na vikolombwezo vingine ndiyo kwanza wanapanga biashara zao kando ya barabara....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mie penda weye lakini kaa kidogo tuzoze
Shemeji Carba namkubali sana. She is unique bro na mtunze sana!Jana niliaga hapa saa 1 so inatosha kulala 8hrs zinatosha sana
Namwangalia tu Shemeji yako carbamazepine jinsi alivyo mzuri
Nitafanya hivyo bebi. Nakuheshimu na kukupenda sana. ALWAYS...Sawa babe nalala... nawe ulale mapema babe
Yu a lavudi[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
I got you broooo. Jakitoo ya buyenze Safi Sana hiiIt's not. Mimi na Jakitoo tu mwili mmoja...if you know what I mean [emoji23][emoji23][emoji23]