Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Kumekucha salama mkuuBob12 kumekuchaje? Uwe na siku njema mkuu...
Ndiyo shida ya hizi tiba mbadala. Hazina scientific data to back them up. Ni word of mouth hata kama ni placebo effects tu huwezi jua. Na mwingiliano wake na madawa mengine haujulikani. Na nyingi zingetangazwa kama kinga au virutubisho na mara chache kama tiba. Steve Jobs aliamua kujitibu mwenyewe pancreatic cancer kwa kutumia mimea na tiba za jadi za Kihindi. Alikuja kushtuka mwishoni ndiyo akakimbilia kuwekewa ini jipya. Lakini ikawa too little too late. Mpaka leo kuna watu wanaamini kabisa kuwa angeanza tiba aggressively tangu alipogundulika ana kansa pengine angeweza kupona.Kuliwahi kuwa na kesi humu ya dada mja mzito aliyeharibu ujauzito aliouhitaji sana baada ya kutafuna kitunguu saumu. Dada alikuwa na ujauzito mchanga na alisoma uzi humu wa kutibu chunusi usoni kwamba ukitafuna inapunguza na hata kuondoa kabisa chunusi. Basi akaenda kutafuna baada ya masaa machache tumbo likaanza kumuuma sana na kisha akaanza kubleed. Akaja humu kusema hali yake hiyo watu wakamwabia awahi hospitali haraka ambapo aliambiwa ujauzito umeharibika.
Thank youAsante Numbisa now am fine nipo natimiza ahadi yangu
Amen!Kumekucha salama mkuu
Siku njema kwako pia