Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo shida ya hizi tiba mbadala. Hazina scientific data to back them up. Ni word of mouth hata kama ni placebo effects tu huwezi jua. Na mwingiliano wake na madawa mengine haujulikani. Na nyingi zingetangazwa kama kinga au virutubisho na mara chache kama tiba. Steve Jobs aliamua kujitibu mwenyewe pancreatic cancer kwa kutumia mimea na tiba za jadi za Kihindi. Alikuja kushtuka mwishoni ndiyo akakimbilia kuwekewa ini jipya. Lakini ikawa too little too late. Mpaka leo kuna watu wanaamini kabisa kuwa angeanza tiba aggressively tangu alipogundulika ana kansa pengine angeweza kupona.

Haya mambo ALWAYS akili za kuambiwa changanya na zako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…