Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unajua mkuu humu sio kila kitu cha kuchukua vingine lazima kuuliza wataalam kwanza,wakat wa mimba chunusi ni jambo la kawaoda,sasa wadada hawavumiliag kupoteza uzuri wao wakat huo huo wanataka mtoto. ,ile picha za wajawazito mtandaon wasio na chunusi zinawapoteza sana wengi wakitaman hali hio kumbe wenzao wanaisafisha picha kwanza ionekane vizuri ndo waitundike mtandaon ila kwa hali haliso nao wamejawa na chunusi tele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…