Unajua mkuu humu sio kila kitu cha kuchukua vingine lazima kuuliza wataalam kwanza,wakat wa mimba chunusi ni jambo la kawaoda,sasa wadada hawavumiliag kupoteza uzuri wao wakat huo huo wanataka mtoto. ,ile picha za wajawazito mtandaon wasio na chunusi zinawapoteza sana wengi wakitaman hali hio kumbe wenzao wanaisafisha picha kwanza ionekane vizuri ndo waitundike mtandaon ila kwa hali haliso nao wamejawa na chunusi tele
Post tukupe likes mkuuWakuu ndiyo nimemaliza kumwaga likes za kufa mtu. Nimemwaga likes kwenye page 37. Rutashubanyuma kazi kwako Mkuu likes kwa likes ππ
Wangemuonea tu mleta mada. Mwanamke akishakua mjamzito huwa anapewa tahadhali hosp kuwa asitumie tiba yoyote bila ushauri wa daktar,hizi akili za kujiongezea mitandaon sio kila siku zinafanya kaziIlikuwa vurugu mechi humu Numbisa, wengine wakitaka alieleta uzi wa kutafuna kitunguu saumu ili kuponya chunusi afunguliwe mashtaka kwa sababu hakutoa tahadhari kwa wajawazito na wengine wakapinga sana.