Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna baadhi ya wavuta sigara ambao wanaishi hadi miaka 90 na ni wavutaji wazuri wa sigara, kwa nini? Bila shaka ni kutokana na lishe yao,” ansema prosesa na kuongeza kuelezea kwamba;Kuna baadhi ya wavuta sigara ambao wanaishi hadi miaka 90 na ni wavutaji wazuri wa sigara, kwa nini? Bila shaka ni kutokana na lishe yao,” ansema prosesa na kuongeza kuelezea kwamba;
 
“kwa wale watu wanaoanza kuvuta sigara wangali wadogo, wana uwezekano mkubwa wa kupatwa na upungufu wa vitamin A na hivyo kupatwa na madhara yanayohusiana na kansa na ugonjwa wa kuvimba mapafu, na wakiwa na lishe duni ndiyo wasahau kabisa,” anasisitiza profesa huyo.
 
Ushauri anaoutoa profesa Richard ni kwamba iwapo wewe au mtu unayempenda anavuta sigara, au kazi na mazingira yako yanakufanya uvute moshi wa sigara bila wewe kupenda, jilinde dhidi ya maradhi ya kansa na kuvimba mapafu kwa kuhakikisha vyakula vyenye kiwangao kikubwa cha vitamini A, kama vile papai, vinakuwa sehemu ya chakula chako cha kila siku.
 
Ni kweli kabisa haya mambo ya tiba mbadala ni mazuri lakini kuna changamoto zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…