Unashangaa nnHadi nashangaaa
Njema sana, vipi ww.Mambo zako @ nsamaka
Sent from my TV
Ndivyo mnajidanganya?Halafu Cole mwenyewe hana kokoro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kawaTe te te te jana na leo
Sent from my TV
Nirudi nyumbani kufanya nini??? Endelea kupata hamu hivyo hivyo,ikipungua nijulishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakusubiri kwa hamu nyumbani, yaan ntakachokufanya hutasahau
Unamkaribisha vizuri wakati umeficha upanga mgongoni!Karibu sana
Acha uchocheziUsidhani uko peke yako
Nimekumiss...mzima!?Mzee wa jibapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kula cha kula