Kwendaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mjomba leo siwezi kukutafuta
Nasubiri kuona furaha ya Carba. Karibu KK. Watu walikuwa wamefunga kwa ajili yako. Welcome back kamanda!The man is back[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] shimba ya buyenze mpokee kichwa kichafu
Uwiiiiiiiii aiseeh nimefurahi kukuona haina mfano...karibu tenaHabari zenu wakuu
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]nimefurah kukuona...uhali ganiMi ni mzima wa afya tele
Mkuu hapa nimerudi hadi nabaki sema nilipigwa za chembe na majukumu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Je,utakuwa umerudi moja kwa moja?
Numbisa amenitesa kwa picha yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Brother nilikukumbuka sana
Ujue broooo we mtu wa makuzi sana unanifurahisha sanaHapo vipi mzee wa Tukuyu? Hata kama uko na waifu anakuangalia itabidi udondoshe hata kalamu makusudi ili upate upenyo wa kulipa jicho haki yake. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
[emoji23][emoji23][emoji23]wapi uniqKentucky Fried Chicken ya Kipare.
Asante sana mkuu.Habari yako kiongozi,karibu sana brother
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mko vizuri kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23]misambwanda haitawaacha salama
Kuna muda nilipoteza uhimili.Cole na SYB ni timu moja,karibu brotherBrother nilikukumbuka sana
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]huo ujumbe ufike nilipokusudiaHuku kupoa kwangu ni tabia za ndani yangu lakini chachu kubwa inaletwa na carbamazepine love yake kwangu inanifanya niwe Bora akiniacha naweza changanyikiwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kichwa umemuona?Mko vizuri kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23]misambwanda haitawaacha salama
Kakishua kapi hako broo embu nijuze kidogoNaangalia mchezo unavyoendelea mpaka naingiwa na wasiwasi na kumwonea huruma bwana mdogo Cole. Ajabu naye haonekani hapa. Mzee wa Tukuyu si ajabu kauza mazao yake huko ukijumlisha na hela za uhasibu wa wizara aisee Dar nzima inatikisika. Tena anajigamba eti ana nguvu sana kwa sababu ya vyakula anavyokula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cole popote ulipo bro njoo vinginevyo it will be paraboz time. Au itabidi uhangaike na kale ka kishua japo sidhani kama mko compatible...
Teh teh teh hapo nilikuwa nimekimbiwq na waglass[emoji23] [emoji23] [emoji23]Numbisa amenitesa kwa picha yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaah wapi mimi ni yuleyule ulieniachaUmekuwa wakishua weye?