Hahahaha we jamaa bana, nlitaka nikupe likes kama mia hivi kwa mpigo sijui kwanini mods waliweka ki like kimoja cha kichoyo hivi*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*
Mimi sijasikiaNasikia leo ni jtatu...?
Yaani!Anakuka wanyama wenzio.
Sijui ndio binadamu!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dead!Notorious BIG
Nani umemsikiaNasikia leo ni jtatu...?
Hiyo hhapoOle wake ataye nipa like..
UmepataNaomben like 10 za faster
Uchunguzi bado unaendelea, subiri hitimishoMacho ya mwanadamu yanaona zaidi rangi ya kijani kuliko rangi nyingine!
YopDead!
Afadhali umenitetea, kula likeAkidondoka je
Thread ifutwe na nani wakati Max mwenyewe yupo hapa anakula likes?Mi siniliambiwaga kuwa hii thread itafutwa imekuaje tena????
Nawe piaUmepata