Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kuna wasaa wa kusubiria chakula kiive, basi upo wakati wa kusafisha. Inashangaza jinsi tunavyodharau hizi dakika 10 au zaidi! ambazo zingeweza kurahisisha kazi za usafi hapo baadaye. La muhimu anza kwanza na kusafisha na utakuwa na muda wa kupumzika na kufurahia chakula chako mezani.
 
Kama unatumia kikombe au kijiko cha kupimia, hakikisha unakisuuza papo hapo. Futa kila kitu kinachodondoka viwe vyakula au majimaji na mafuta kila vinapomwagika. Nyanya ni kiungo kinachochafua zaidi eneo la kukatia hili haliepukiki kupata matone ya nyanya ukutani na hata juu ya jiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…