Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Wanasema kinywaji cha Rosella kinasaidia kupunguza presha, na inaongeza furaha ya maisha na kuondoa maumivu ya moyo umeipata ii,
 
Aviation authority naona wanaanza kumwekea vikwazo kuingiza hiyo ndege nchini let's wait
 
Shida sio mataliban,kwani nani kamfuata mwenzake kwenye nchi yake?
Najua mkuu. Nilimaanisha kuwa majamaa (na Waafghanistan kwa ujumla) yana historia ya kujivunia sana sana. Hayashindiki! Hata uwe na silaha za aina gani utachemsha tu.

Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kifo. Hata Wamarekani watasarenda tu na kuondoka eventually!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…