Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vyakula vya sukari kwa wingi ni adui kwa afya
 
Mkuu matokeo yapo tayari tatizo atakayeshindwa kukubali matokeo
Yameshatangazwa na hakuna fyoko fyoko. Nina washikaji wapo huko wanasema ilikuwa ni kama sherehe tu na siyo uchaguzi. Vituo vya kupigia kura vilikuwa vimepambwa kama kumbi za harusi huku miziki ya kitaifa ikirindima. Ulikuwa uchaguzi wa amani sana. Walishajifunza hawa na somo likaeleweka vizuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…