Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shida kubwa kwa mwanamume ni kumuoa mwamke mzuri aliyepitiliza. Carba anapata wakati mgumu maana kila mmoja anatamani angalau amguse.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga wa kizazi hiki wana kamsemo eti kuoa mwanamke mzuri ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule ya boarding tena boys only. Ni shida kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…