Kasoro, zipi hizo tena mkuu mimi namuona amekamilika kila idara
Daah!andjul na KK huwa wananifurahisha sana halafu KK tumetoka mbali...ila daahUkimuona Andjul na KK unapenda kujichekesha chekesha wakati unawajua ni viwembe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbele ya wife !!??Andjul yuko wapi? Shida mojawapo ya misambwanda [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama alikuwa na mabaya yake ni vizuri kuweka waziIla si wanasema marehemu/maiti haipendezi kuiongelea mambo mabaya?
Sina hata mpango wa kukuacha kwakwel labda uniache lolKweli kanipofua hata sijui akiniacha nitakuwaje
Napenda ujue popote nitakapo kuwa kila nitakacho fanya you are always on my Mind. So so MuchJamani hadi nakosa maneno ya kusema[emoji4][emoji4][emoji4]
Sidhani watu wanapindisha ukweliUtakachochuma ndicho kitakachosemwa baada kufa kwako, ndiyo maana tunashauriwa kufanya amali njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ndio wale Mugabe awataki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu bhana hivi mtu anajiskiaje anajiandika ye ni female wakati si kweli daah
Hii ingesaidia sana jamiiSipati picha yunaanza kusema marehem alikuwa mwizi,kibaka na mengine daah...Mungu atuongoze kwenye njia impendezayo
Ndio tunawekaWekeni post ni like basi