Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ninazozijua ni kuhujumu uchumi na kua na uraia wa nchi mbili,japo zipo 4
OK. Aliwahi kujipeleka Central na mawakili karibia 10 wakiwemo wazungu. Bila shaka ana wanasheria bora kabisa upande wake. Sheria basi tuiache ikereze tu kwa sababu yenyewe hukereza kote kote. Ni high profile case na bila shaka haki itatendeka siyo kama masikini wanaolimwa mvua 10+ kwa kesi ya kuiba kuku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…